Huwa nakuona sana katika thread hii ukiichangia una taaluma gani?Vp leo kuna jambo au tuzime data tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nakuona sana katika thread hii ukiichangia una taaluma gani?Vp leo kuna jambo au tuzime data tu?
Marketing & Public relationsHuwa nakuona sana katika thread hii ukiichangia una taaluma gani?
Yah Kwa mwez pdf 6Limebaki pdf moja tu likitoka hilo ndio hadi mwezi wa sita..
Never give up mkuu Mungu atatenda tuPdf niliyokuwa naisubiri ilitoka juzi na sikuwepo, haya haya wakuu nawaaga rasmi tutaonana tena siku nikifanya application na kumaliza interview.
Duh pole kada ngumu kidogo ila usikate tamaaMarketing & Public relations
mie mwenyewe nashangaa.Ila nyie majamaa wa humu bhana mnanifurahisha, mnajua kabisa huyo mpuuzi anayejiita T - kipini hana akili timamu then ety anawaumiza kichwa.
Na hilo pdf lililobaki nahisi IT atakumbuka kada yake sasa.Yah Kwa mwez pdf 6
pole wamekupiga sugulukunyoPdf niliyokuwa naisubiri ilitoka juzi na sikuwepo, haya haya wakuu nawaaga rasmi tutaonana tena siku nikifanya application na kumaliza interview.
pole wamekupiga sugulukunyo.Pdf niliyokuwa naisubiri ilitoka juzi na sikuwepo, haya haya wakuu nawaaga rasmi tutaonana tena siku nikifanya application na kumaliza interview.
Cjui kwann hua siamini databasesi kuna dataabase.you never know
Sawapole wamekupiga sugulukunyo.
Dah bc ngoja itabidi na Mm niwe mfatiliaji wa kila pdf itakapotokawatu wengi humu ndio wametokea humo
Pole mkuu your time nearDah bc ngoja itabidi na Mm niwe mfatiliaji wa kila pdf itakapotoka
Kipi kimekufanya uamin kwamba PDF iliyopita kada yako ndiyo Basi hawataita tena?Dah bc ngoja itabidi na Mm niwe mfatiliaji wa kila pdf itakapotoka
Sina sababu ila dah labla n moyo kukata tamaa tuuKipi kimekufanya uamin kwamba PDF iliyopita kada yako ndiyo Basi hawataita tena?
kada gani upo.mbona wengi humu tunaskilizia databaseSina sababu ila dah labla n moyo kukata tamaa tuu
Dah nilichosomea ht naona aibu kuitaja mana najuta japokuwa chuo nilienda mwnyw bila kulazimishwa.kada gani upo.mbona wengi humu tunaskilizia database
hamna haja ya kuona aibu.anyway watakuja kujichanganya tu siku moja utalamba asaliDah nilichosomea ht naona aibu kuitaja mana najuta japokuwa chuo nilienda mwnyw bila kulazimishwa.