Ashamery
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 171
- 185
Ukwel ndo huo apo pdf ad mwez wa 6usiiseeme hivyooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukwel ndo huo apo pdf ad mwez wa 6usiiseeme hivyooooo
amna bana watatoa tuUkwel ndo huo apo pdf ad mwez wa 6
🤣 🤣No comment😕
ikifika july vibari vya ajira vinatoka sio.Pdf ni bandika bandua...kesho nyingine...
Kaz ndio wanaweza kuanza july mwaka mpya wa fedha
Daaaaaaah hali ni mbaya kiukwelTunaona kwamba mnataka watu waishe data base ila kwa speed hii, wasaka ajira watafika wamechoka, kibari tayali why mvutano wa tasisi na psrs kupelekea kuchelewa kwa plaement
Mwamba kama mwamb🤣🤣🤣hatimae wametoa sasa mngekufa 😆 😆
Kumekucha mkuu,ingekua wanaangalia umeingia mara ngap kwny web yao ningekua nishalamba zangu asali labda ya nyuk wakubwa🤣🤣🤣Majobless tuamke sasa tukashinde web na kupiga ramli.. 😂😂😂
Mkuu tunawasafishia web kwanza🤣🤣,ivi ile pdf ya jana waliitoa sa ngap?yaaani majobless saa 12 mmeshaanza kuingia web hata utumishi bado hawajafufungua ofisi 🤣 🤣 🤣
Naaaam ila jobless hawataki kuelewa.Jaman mpga ramli npo apa pdf ni mpaka mwez wa 6