Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka kama nilivyokuambia kuna database ya mwezi wa sita utumishi wanakimbizana nayo waimalize.utawala2025 hujachomoka hapo
IT anaenda likizo mwezi ujao hivyo June tusitegemee pdfNakazia , Ni mwendo madereva , Wapishi , secretary , IT , accountants ,librarians
Hv ww si umelamba asali?IT anaenda likizo mwezi ujao hivyo June tusitegemee pdf
SijamuelewaNami nashangaa au anatucheka
Upepo upo kwao ss ivi..na watendaj wa kijiji watalamba sana asali kabla ya 2025Nakazia , Ni mwendo madereva , Wapishi , secretary , IT , accountants ,librarians
Tulia, ofisi haina mtu mmojaIT anaenda likizo mwezi ujao hivyo June tusitegemee pdf
Kukata tamaa ndo kitu haitakiwi, muda wako unakujaKaka kama nilivyokuambia kuna database ya mwezi wa sita utumishi wanakimbizana nayo waimalize.
Mimi nilifanya wa nane.
Kiuhalisia mimi sio jobless ila nilikuwa na imani sana na Psrs.
Ila naona naenda kukata Tamao moyo wangu umekufa ganzi.
Nilipambana sana kuingia oral zaidi ya interview mbili nimefanya.
Marafiki zangu wote wakaajiriwa.
Mimi nimeingia mwaka jana oral tukiwa 150 na database yetu haijawahi kuguswa mwezi wa sita sikuenda baada ya kufeli Mwezi watatu ila ndo hiyo hiyo utumishi wamekomaa nayo.
Yetu ina miezi 10 haijaguswa.
BABA MUNGU AHSANTE KWA YOTE.
niwatakie usiku mwema.
Ila moyo unauma sana sana.
Waoo hongeraNamshukuru Mungu nimetoka kwenye mkeshaa wa maombi asubuhii hii nakutana na jina langu kwenye pdf,nashindwa hata niongee maneno gani ya kumshukuru Mungu,nimefanya interview (4) utumishi sijawahii kubahatika kuingia Oral hata siku moja,ila interview ya mwezi wa Nne niliingia Oral kwa mara ya kwanza na Leo nimeona jina langu