No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Tusubir tuone, ndani ya hii miaka miwili ya uchaguzi, lazma wote tulambe asaliKumekucha"bado msongo wa mawazo upo palepale kuelekea kusomwa kwa Bajeti leo......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusubir tuone, ndani ya hii miaka miwili ya uchaguzi, lazma wote tulambe asaliKumekucha"bado msongo wa mawazo upo palepale kuelekea kusomwa kwa Bajeti leo......
Kwenye pombe utawezaHabari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
nadhani pdf kuanzia tar 20 ukoSku 12 bila pdf🧐
Unions hivyo ujue database tuko wengi mkuu.Sema watu wengi siku hzi ni kupiga ramli tu ,amna tena kupeana amasa na maelekezo juu ya interview zijazo.
Nakubishia kuanzia tar 15 kuendeleaLabda leo linaweza kuwepo...
Tuanze kutumia labda
Mkuu hutaki tujipe matumainiNakubishia kuanzia tar 15 kuendelea
Ndio nitawezaKwenye pombe utaweza
Mimi nimefanya juzi tu, sikufika oral nimeishia practical tu, japo na oral mbili, oral moja MDA na LGA na oral ya mwisho ya veta carpentry japo nayo nimeachwa juzi wametoa majina.TRC kujeni mpinguze
Jam ya wasaka ajira waliyoko kwa data base (kazi data) ya utumishi huku😁😁 Tz yetu
Mungu atakuona tu, nenda kafanye uwe na oral nyingi huwezi jua utaangukia wapi nduguMimi nimefanya juzi tu, sikufika oral nimeishia practical tu, japo na oral mbili, oral moja MDA na LGA na oral ya mwisho ya veta carpentry japo nayo nimeachwa juzi wametoa majina.
Najianda kufanya tena vocational teacher plumbing.
Ila we ckuwez yaan mpaka uelew😂😂kwenye matangazo apapoagi
Na ile sikukuu ya j3 mtu ndo ujikute kwa pdf,Jina zima zima yanii 😋😋Nakubishia kuanzia tar 15 kuendelea
Nashangaa hakuna likizo sector iyo🤣kwenye matangazo apapoagi
Njoo kwenye placement sasaNashangaa hakuna likizo sector iyo[emoji1787]
Hongera sana naona una sikills nyingi,carpentty na plumbing na kote una vyeti kiasi kwamba unachukuliwa utumishi,kikubwa usikate tamaa ipo siku yako yajaMimi nimefanya juzi tu, sikufika oral nimeishia practical tu, japo na oral mbili, oral moja MDA na LGA na oral ya mwisho ya veta carpentry japo nayo nimeachwa juzi wametoa majina.
Najianda kufanya tena vocational teacher plumbing.