Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao kabla ya tarehe 30 wanashusha jamvi laoTRC mje kwa data base ya utumishi huku wasaka ajira wanasubiri zoazoa yenu huku!
Eeh imekaaje hiiNaona kwenye link yao whatsapp hawajapost...Kuna keka zito wanaleta
Link ipi hiyo tueleweshaneEeh imekaaje hii
Mkui pdf limetoka leoLeo ni shwaaaaa..
Ngja aje,kumbe kuna chimbo na hatujuiLink ipi hiyo tueleweshane
duhh hongeraDaaah hatimae nimepata kaz,mungu mwema
Hongera mkuu kila la kheri,ukawe mtumishi mwemaDaaah hatimae nimepata kaz,mungu mwema
we pincoladee huchoki kupongeza wenzako wewe tutakupongeza lini.karibu serikalini 🤣 🤣Hongera mkuu kila la kheri,ukawe mtumishi mwema
Hongera sana, Mungu ni wa upendo, ulifanya oral mwenzi gani?Daaah hatimae nimepata kaz,mungu mwema
Next session Mungu atampa zamu yake, be humble soonwe pincoladee huchoki kupongeza wenzako wewe tutakupongeza lini.karibu serikalini 🤣 🤣
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu kila la kheri katika majukumu yako mapyaDaaah hatimae nimepata kaz,mungu mwema
Hongera sanaDaaah hatimae nimepata kaz,mungu mwema
Soon,we jiandae tu kunipongeza naamini kuna kitu kinaenda kutokea🫠we pincoladee huchoki kupongeza wenzako wewe tutakupongeza lini.karibu serikalini 🤣 🤣
Una fununu nn wanatak kuzimwaga?TRC mje kwa data base ya utumishi huku wasaka ajira wanasubiri zoazoa yenu huku!