Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwenye hizi harakati kikubwa ni dua na kutokata tamaa tu. Kuna post ilitaka watu 4 oral wakafanya 20 wote watokea kwenye Pdf na wameongeza 6 kutoka database. Tuendelee kujifukiza wakuu
Kweli tuzidi kupambana
 
Mbona kuna rafiki yangu alipiga hiyo Oral ila sijamuona kwenye pdf civil technician

Nilipiga hio oral pia hawajachukua wote sisi tulifanya trh 18 na apo wameita mwisho trh 10/5....walioitwa wote 26 walifanya interview ya mda na lga february.. Sisi wa trh 18 hakuna bdo
 
Mbona kuna rafiki yangu alipiga hiyo Oral ila sijamuona kwenye pdf civil technician
Alifanya oral tarehe ngap? Walioitwa walikuwa 21, mmoja hakufanya baada ya kuona jina lake kwenye pdf so akaenda kuchukua barua yake akaondoka. Walifanya 20 waliobak na majina yao yako hapo na wameongezeka 6
 
Basii yeye atakuwa hakuingia Oral alinidangayaa
 
Mkuu huyo neema tuliripoti naye kazinii siku moja VETA pale,HR akamwambia hiyo nafasii ilishagajazwa na mtu coz alitokea database so arudi utumishi apangiwe sehemu nyingnee ndiyo nimeona kwenye pdf ya Leo amepangiwa TRC
Mpaka Hr anamwambia kuna mtu katoka database inamaana PSRS hawana Taarifa hiyo wanapeleka mtu pale au ndo Usanii wa kuingizana watoto wao kwa mgongo wa Databse katoka bila barua PSRS kupewa alafu huku jobless tunatoa Pongezi za kusifu kumbe kunamambo yanaendelea nyuma ya Pazia.....
 
Hapana mkuu yaanii iko Hivi baada ya kuwa psrs wamechelewa kuwapelekea mtu ile nafasi ilichukuliwa na mtu ambaye alibadilishiwa majukumu akaziba hiyo nafasii so kwamba aliajiriwa mtu mpya!!
 
kwa hiyo kumbe PSRS huwa nao wanachangia kuchelewa kwa placement kumbe
 
Hapo Sasa sijuii Mkuu,but kitu alichomwambia HR ni kwamba hii nafasii ilishagapata mtu Rudi PSRS wakupangie sehemu nyingnee yule dada akarudii ndio nimeona jana amepangiwa PSRS zaidii ya hapo sielewii chchte
 
Hatimaye nimepata placement TRC
Mwaka huu nilikuwa na oral mbili MDA na LGA, VETA carperntry( majina tarehe 31/05/2024 yalitoka sijapata) , TRC za juzi nimefanya written nilifaulu kwa alama 75, practical alama 64, sikufanikiwa kuingia oral ,ila majina jana yametoka nimepata placement, hakika mungu yupo.

Kati ya saili niliyojiandaa kwa muda mrefu ni TRC, lakini ndio sikufika oral.
 
Hongera saana mkuu,ukawe mtumishi mwema,tulifanya wote hiyo Oral ya carpentry ndiyo nilibahatika Mimi kupata,vpy utakuwa umetoka kwenye database ya carpentry au MDA and LGA
 
Hatimaye nimepata placement TRC
Mwaka huu nilikuwa na oral mbili MDA na LGA, VETA carperntry( majina tarehe 31/05/2024 yalitoka sijapata) , TRC za juzi nimefanya written nilifaulu kwa alama 75, practical alama 64, sikufanikiwa kuingia oral ,ila majina jana yametoka nimepata placement, hakika mungu yupo.

Kati ya saili niliyojiandaa kwa muda mrefu ni TRC, lakini ndio sikufika oral.
hongera sana kaka! nawaza utamu wa kufata barua pale masijala ya wazi itakua balaa sana!
 
Hatimaye nimepata placement TRC
Mwaka huu nilikuwa na oral mbili MDA na LGA, VETA carperntry( majina tarehe 31/05/2024 yalitoka sijapata) , TRC za juzi nimefanya written nilifaulu kwa alama 75, practical alama 64, sikufanikiwa kuingia oral ,ila majina jana yametoka nimepata placement, hakika mungu yupo.

Kati ya saili niliyojiandaa kwa muda mrefu ni TRC, lakini ndio sikufika oral.
Hongera Sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu
 
Hawa recruitment secretariat wamevuta bangi sio ? Okay iko hivi for days nlikuwa najaribu ku apply hizi kazi za TCRA lakin ikawa inagoma ilihali qualify, nikajaribu kuwapigia sikuwapata, wote tunajua ni ngumu kuwapata hawa jamaa kwenye simu. Sasa leo mida ya saa saba usiku(01:00hrs am), nikajaribu for the last time nikaona imekuubali kuleta sehemu ya ku upload barua, which means walifix hilo tatizo. Nikawa nimepanga leo before saa nne niwe tayari nimeset barua nizi upload, nimeset barua nakuja kuchek kazi hazipo, Why ?, wakati deadline ilikuwa tarehe 20 mwezi wa 6 mwaka 2024 ? kuna tofauti gan ya saa saba usiku (1:00) leo na saa 10:00 leo ? mbona tarehe haijapinduka ? Nani anafanya hivi ?
Nimeattach sceenshot ya hiyo kitu.
 
Attachments

  • recruitment secretariat.jpg
    recruitment secretariat.jpg
    265.8 KB · Views: 7
Back
Top Bottom