Hiyo👆Mungu atakuona tu, nenda kafanye uwe na oral nyingi huwezi jua utaangukia wapi ndugu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo👆Mungu atakuona tu, nenda kafanye uwe na oral nyingi huwezi jua utaangukia wapi ndugu
na mimi hyo hyo, haha aloo ningewashambulia mpaka wajute, nimejifua linux na viunga vyake leo itokee kazi yake eti nishindwe kuapply aisee, i was very disappointed ....ila fresh ntakutafutia madesa, ila maswali kasome ya sanfoundry.comInawexekana tunaomba post moja😀😀 nimeomba cyber uanze kunipa madini sasa iki tufike oral
Hongera Sanaa D,kila la kheri🤗Hatimaye nimepata placement TRC
Mwaka huu nilikuwa na oral mbili MDA na LGA, VETA carperntry( majina tarehe 31/05/2024 yalitoka sijapata) , TRC za juzi nimefanya written nilifaulu kwa alama 75, practical alama 64, sikufanikiwa kuingia oral ,ila majina jana yametoka nimepata placement, hakika mungu yupo.
Kati ya saili niliyojiandaa kwa muda mrefu ni TRC, lakini ndio sikufika oral.
pinacoladee kua attention leo watatoaHongera Sanaa D,kila la kheri🤗
😂😂daah mm nimedata sio siripinacoladee kua attention leo watatoa
MapemaLeo pakavu...
Ahahaha!! Ndiyo nilikandwa veta carpentryHiyo👆
😂😂 tukutane mjengoni pale mkuuna mimi hyo hyo, haha aloo ningewashambulia mpaka wajute, nimejifua linux na viunga vyake leo itokee kazi yake eti nishindwe kuapply aisee, i was very disappointed ....ila fresh ntakutafutia madesa, ila maswali kasome ya sanfoundry.com
Haina nomaa, tuombe uzima😂😂 tukutane mjengoni pale mkuu
Nimewahi ingia pale ndani basi napatamani sana
Asante kwa hiyo source ya maswali
Kama zile za psrs huwa tunazielekeza kwa katibu( secretary),Hello majobless wenzangu,
Hivi ikitokea umepewa address uandike barua ya kuomba nafasi ya kazi na ukaambiwa uielekeze kwa manager unaadikakaje? Mfano: umepewa anwani hii
JOBLESS ENTERPRISES (T) LTD,
P.O.BOX 20,
MWANZA
TANZANIA
Halafu wakakwambia barua uielekeze kwa manager je hapo utaiandikaje? Msaada wenu please
Hakika mkuu,aisee source ya maswali iko vzr bila shaka utumishi lazima uwanase kimbembe practicalHaina nomaa, tuombe uzima
hivi practical zenu huwa zinakuaje maandika code auHakika mkuu,aisee source ya maswali iko vzr bila shaka utumishi lazima uwanase kimbembe practical
Sasa jobless format unayotumia utumishi ndio hiyo hiyo tu popote unapoomba kinachobadilika ni anuani na unayemuombaHello majobless wenzangu,
Hivi ikitokea umepewa address uandike barua ya kuomba nafasi ya kazi na ukaambiwa uielekeze kwa manager unaadikakaje? Mfano: umepewa anwani hii
JOBLESS ENTERPRISES (T) LTD,
P.O.BOX 20,
MWANZA
TANZANIA
Halafu wakakwambia barua uielekeze kwa manager je hapo utaiandikaje? Msaada wenu please
Inategemea na post mkuuhivi practical zenu huwa zinakuaje maandika code au
kwa hiyo programmer unapewa output alafu uchape code 🤣 🤣Inategemea na post mkuu
Kama ww ni post unayoomba ni programmer lazima utachapa code tuu😁😁
Maana UWanja ni mpana,kuna networking n.k kila position ina practical yake
Maswali ni scenarios alafu uchape code..programming hiyokwa hiyo programmer unapewa output alafu uchape code 🤣 🤣
Ok Asante sana jobless mwenzangu, na ni lazima kuambatanisha Nakala ya vyeti vyako kwenye barua pamoja na CV au unapeleka barua tuSasa jobless format unayotumia utumishi ndio hiyo hiyo tu popote unapoomba kinachobadilika ni anuani na unayemuomba
Hapo anuani umepewa na umeelekezwa wa kumuomba hiyo nafasi,tumia format ileile unayotumaga utumishi maana ndo barua za kiofisi/kuomba kazi zilivyo
duhh hapo kama kilaza lazima uachwe kwenye mataaMaswali ni scenarios alafu uchape code..programming hiyo