Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna baadhi ya watu kwenye baadhi ya taasisi walianza kupata Salary kabla ya kuitwa rasmi kazini.

Hilo lilitokana na kuwa, walipoenda kuripoti na ile barua ya kutoka PSRS wakiwa na dox zote nyingine wakaenda kujaza details zao zote then wakaambiwa wataitwa tena kuja kuanza kazi rasmi.

Sasa kwa kipindi wakiwa wanasubiri tayari wakawa wameanza kupata Salary.
Hii nzuri hii mkuu😂 uko home tu na Salary inaingia
 

Kwa mahitaji ya vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF) na nyumba NZIMA ZA KUPANGA za kupanga, fremu za biashara Moshi mjini za kila aina na bei zake kwa miji ya MOSHI na ARUSHA WASILIANA NAMI 0672701329/0756294771​




DALALI Lexus SUV
kaa na manyumba yako :ALERTA: tako lako:ALERTA:
 
Back
Top Bottom