Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wanajamvi,

Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Tatizo ni CCM mkuu mpaka waweke watu hao kama unabisha muulize lucas mwashambwa
 
Leo tumechinjwa....zimebaki wiki mbili mwezi ukate...
 
Back
Top Bottom