Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanza hapo washachelewa mpaka September inabidi tuwe kazini.

Kuna kada hata idadi ya watu wanaowatafuta wanaweza wasiwapate kama.

Madaktari bingwa.
Wauguzi Certificate.
Macho.
Fizio.
Radio.
 
Kupitia interview sio lazima wafanyishe interview mwaka jana waliomba wizara kupitia Utumishi na wakaitwa kazini.

Hatuogopi interview.

Ila sisi wanatuhitaji sana kuliko sisi tinavyowahitaji
 
yaani hawa wajinga mpaka mida hii wanaweka matangazo ya ajira wameshaongeza la bumbuli lakini placement mwisho saa 12
Daaaah It yko online..mm nadhan jukumu lao kubwa ni kutoa matangazo ya ajira baada ya apo wapate posho zao za interview tukifanya maelfu..iyo next step ya placement sasa iko ndo kipengele wasichokijari
 
Daaaah It yko online..mm nadhan jukumu lao kubwa ni kutoa matangazo ya ajira baada ya apo wapate posho zao za interview tukifanya maelfu..iyo next step ya placement sasa iko ndo kipengele wasichokijari
yanazingua kweli kumbe yako macho
 
Uzi unaanza kupoteza maana kabisa. Nakumbuka kipindi cha nyuma kidogo tulikuwa na discussion humu ndani.
Na kulikuwa na ushauri wa nini ufanye ili uweze kutoboa sahili za PSRS.
Zilitusaidia sanaaaa na wengi wetu humu tumepata ajira kupitia zile discussion.
Niliingia humu Jun 2022 nikiwa nimeomba kazi za watakwimu daraja la pili. Mwezi Nov 2022 nikaomba nipewe madini ya wapi nipitie kwenye iyo kada.
Mwenye idea apo niguse sehem gani
 

Attachments

  • Screenshot_20221108-074647.jpg
    Screenshot_20221108-074647.jpg
    31 KB · Views: 10
STATISTICIAN II.
DUTIES AND RESPONSIBILITIES.
1/. To design and develop National statistical system.
2/. To construct statistical procedures general and Sampling statistical system.
3/.To collect, analyse and dissemination statistical information at upper levels.
4/.To do other works assigned by supervisors.
Nikaambiwa na kiongozi wizy niweke kwa kingereza ili niweze kusaidiwa kwa urahisi. Nikafanya ivyo
 
Niliulizwa maswali 7 aisee ila niliyajibu ndani ya dk 10 maana nilikuwa napiga short sana hadi point zinapitiliza/zidi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Baada ya jamaa kupata placement nilirudia text zake zote za nyuma nikakutana na hii nikaibeba na kujipa moyo nikitoboa written napita na hii idea. Bwana Mwifwa ubarikiwe sanaaaaa
 
1. Duties za statistician.
2. Methods of data collection
3. Steps of conducting research
4. When to use Qualitative and Quantitative research
5. Types of data
6. How do you stay current with the latest developments in statistics and data analysis?
7. What is your experience with time series analysis and how have you applied it in your work?
8. What is your experience with data visualization and how do you choose the appropriate chart or graph for a given dataset?
9. What is the central limit theorem and how does it apply to statistical analysis?
10. Challenges
11. Tell us a little bit abt yourself
12. What are the disadvantages and advantages of statistics
13. Explain the scopes of statistics

Experince ya kufanya interview as statistician hayo ni baadhi ya maswali nlokumbana nayo

But qn no 1,2,3,4,9,12 nilikutana nayo utumishi
Nikachukua na huu pia kwa Mkuu insider man nikaufanyia kazi ipasavyo
 
Nakushauri pitia kiundani/study in deep kuhusu zile job descriptions( usiishie kuzisoma tuu kama walivyoorodhesha bali wewe nenda one or two extra miles. Maana kuna swali moja au mawili yatatokana na job descriptions ya nafasi uliyoomba.
Nilichukuwa huu ushauri kwa Mr Spider. Ubarikiwe sanaaaa uko uliko kiongozi
 
Back
Top Bottom