El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
mida yao inakaribia tuongeze spidi ya kuingia web
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Web pa moto saivmida yao inakaribia tuongeze spidi ya kuingia web
yaani kujaza vimulimuli sehemu ya placement inatokeaga mara 2 kwa mwakaWeb pa moto saiv
President's Office,Kuna huyu anaomba kujua adress ya ofisi za utumishi kwa either dodoma ama dar es salaam
Kama anaomba kazi mkuu ni vyema aangalie kwenye tangazo la kazi pia Huwa wanawekaKuna huyu anaomba kujua adress ya ofisi za utumishi kwa either dodoma ama dar es salaam
🤣 🤣 nature inatuforce tuwe hivi mkuuwatu mpo active hatari[emoji119]
Kaka kuna kada yangu ila polisi hapana[emoji1787] [emoji1787] nature inatuforce tuwe hivi mkuu
Nenda kasweke watu rumande huko😂😂😂Kaka kuna kada yangu ila polisi hapana
Kwanini polisi hapana mkuu?Kaka kuna kada yangu ila polisi hapana
🤣 🤣 🤣 kwani wewe unakua poti we mshahara wako tofauti alafu unaweza kuja kua ACPKaka kuna kada yangu ila polisi hapana
Jkci,muhimbili,moi wiki ijayo kuna pdf langu hukoNenda kasweke watu rumande huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe lazima uende depo[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] kwani wewe unakua poti we mshahara wako tofauti alafu unaweza kuja kua ACP
depo kule unaenda kuzuga tu ndugu yangu ukitoka kule unatoka mtu sio polisi njaaKumbe lazima uende depo
😂😂😂😂Jkci,muhimbili,moi wiki ijayo kuna pdf langu huko