El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
🤣 🤣 🤣 kumbe upo humu.vipi ushachukua barua lakiniHuu ukorofi na uchonganishoo wazi wazi🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣 kumbe upo humu.vipi ushachukua barua lakiniHuu ukorofi na uchonganishoo wazi wazi🤣🤣🤣🤣
Taratibu anaanza kututelekeza jobless uku🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 kumbe upo humu.vipi ushachukua barua lakini
Iko sahihi kikubwa usisahau kuisign iyo baruaWakuu habarini...
Samahani kwa usumbufu Mimi mwalimu naomba kuelekezwa Kama address ya Kiingereza niliyoiandika ni sahihi
KATIBU, OFISI YA RAIS, SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA, S. L. P. 2320, DODOMA.
Secretary
President's Office,
Public Service Recruitment Secretariat,
P.O.BOX 2320,
Dodoma.
Ndo nmeingia,barua nishachukua🤣 🤣 🤣 kumbe upo humu.vipi ushachukua barua lakini
Nashukuru sana mkuuIko sahihi kikubwa usisahau kuisign iyo barua
Karibu Sana mkuu Na wakati unaiattach kwenye mfumo pia iwe kwenye pdfNashukuru sana mkuu
Shukrani kabisa. Ndani ya siku 2 nitakuwa nimemaliza...Mungu mwema nipite kama Kuna interview nikaonekane huko.Karibu Sana mkuu Na wakati unaiattach kwenye mfumo pia iwe kwenye pdf
Lazima wakandwe, watake wasitake 😂Watu wanaogopa interview sijapata kuona...afya mpk leo wanajadili interview ipo au haipo badala ya kuanza kupeana hints za interview
Waoga hao....waache wajisahau tuLazima wakandwe, watake wasitake 😂
Kaka wiki ijayo tuendelee kusaka nyoka maana mwezi huu pdf kama zotepdf ni kuanzia kesho dah haya maisha mpaka kuna muda mtu unatamani ungeumbwa ndege[emoji1787] [emoji1787]
Haaah...Waoga hao....waache wajisahau tu
Mkuu mi nakushauri soma...jikaze usome sana....nadhan pract inaweza isiwepo...unapiga theory na oral...Haaah...
Mikando hatutaki
Uzuri nimefanya interview mbili za utumishi moja nilikanda moja nilitoboa hadi oral.Waoga hao....waache wajisahau tu
Sio mwalimu mimi ww.Mkuu mi nakushauri soma...jikaze usome sana....nadhan pract inaweza isiwepo...unapiga theory na oral...
Komaa mkuu piga shule uibuke oral
Ila mkuu mbaga jobless wanamakasiriko.Lazima wakandwe, watake wasitake [emoji23]
Mm utumishi mkongwe wala usinifundisheMkuu mi nakushauri soma...jikaze usome sana....nadhan pract inaweza isiwepo...unapiga theory na oral...
Komaa mkuu piga shule uibuke oral
🤣🤣🤣 Baada ya oral kumbuka pia kuna status mkuu kubadilika🤣🤣🤣Mkuu mi nakushauri soma...jikaze usome sana....nadhan pract inaweza isiwepo...unapiga theory na oral...
Komaa mkuu piga shule uibuke oral
Mm Niko na nyie sema ndo tumeanza juzi humu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baada ya oral kumbuka pia kuna status mkuu kubadilika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]