Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu hivi inachukua muda gani kuita watu kwenye usail written baada ya tangazo la kazi kufungwa
Hakuna muda maalum mwaisa ila anzia mwezi mmoja toka deadline inategemeana na unaraka wa taasisi husika

Maana zipo saili za taasisi nimewahi omba baada ya mwezi tukapiga interview
Kifupi ukkshaapply tu na imesoma received anza kukomaa kusoma usisubiri shortlist,hii itakusaidia kuwa fit na comfidence kuelekea kwenye mtihani kuliko zima moto,
Soma vzr kwa kufuata hizo job description

Maandalizi mema mpwa😁
 
Ata kwenye pdf haipo labda umeangalia vibaya kama umeona screen shot tuma hapa
Screenshot_20240804_120246_Drive.jpg

Screenshot_20240804_120302_Drive.jpg

Screenshot_20240804_120412_Drive.jpg
 
Hakuna muda maalum mwaisa ila anzia mwezi mmoja toka deadline inategemeana na unaraka wa taasisi husika

Maana zipo saili za taasisi nimewahi omba baada ya mwezi tukapiga interview
Kifupi ukkshaapply tu na imesoma received anza kukomaa kusoma usisubiri shortlist,hii itakusaidia kuwa fit na comfidence kuelekea kwenye mtihani kuliko zima moto,
Soma vzr kwa kufuata hizo job description

Maandalizi mema mpwa😁
Asante mwaisa ngoja nianze kupiga kitabu mkuu
 
Mkuu kama ni IT degree hatupo kwenye hii pdf ya MDA n LGA...
Nadhani kwakuwa bado database tupo wengi alafu kuna nafasi nyingi hawajaita..TCRA, TBC n.k,
Mimi mpk sasa nina received 7 na nyingine niliziacha
Oh kumbe.
 
Aah bhana bhna received 7 sio kitoto,yanii sasa ivi apo komaaa apo tunasema litakufa jitu...afe beki afe kipa lazima kinuke kbisaaaa🤣💪
 
Mkuu kama ni IT degree hatupo kwenye hii pdf ya MDA n LGA...
Nadhani kwakuwa bado database tupo wengi alafu kuna nafasi nyingi hawajaita..TCRA, TBC n.k,
Mimi mpk sasa nina received 7 na nyingine niliziacha
Mwanangu, received 7 hapo ukifika oral zote afu ukikosa kazi aisee em jaribu kurudi nyumbani kwa wazazi wakakuangalie unakosea wapi 😎
 
Ndugu zangu nafasi zilizotoka si haba,Nadhan na nyingine nyingi zitatoka,si vibaya ukaanza kujiandaa ukasoma materials yako basing na job description utapata areas za kufocus zaidi,kama kuna magroup au unaweza ukaanzisha WhatsApp group mkajisomea naamini watu wana materials ya kutosha hasa ukikutana wa kada moja na kupeana moyo,wengine mnaweza ata mkameet face to face for discussion ata mara 2 au 1 kwa wk au zaid kulingana na mtakavyokubaliana na mkashare kwa wngine ambao wapo mbali au wanashindwa kukutana,discussion zinasaidia mno,kingine kwenye oral interview za PSRS maswali meng yanabase kwenye job description kulingana na kada husika,na most of the questions utaambiwa umention na sometimes short explanation tena labda kama wanahitaji kujua uelew wako zaid au point wakitak kuelew zaid ulichosema,swali linalohitaj ujielezee sana ni swali la kwanza la tell us about yourself ambalo lina base kwnye education background na professional yako na baada ya kuelezea apa unaweza ukafinalize kwa kusema kwa nini unatak hii kazi na jinsi ulivyo competent au skills gani uko nazo zinazofanya uwe bora kwa kazi hiyo. Lakini pia wazungu wanasema hivi confidence comes from good preparation,so kujiandaa ni bora zaidi,wengine bhn wako vizuri na maswali yanaweza kua simple but wanashindwa kupresent walichonacho mbele za watu,unaweza kujifanyia self practice unajitazama kwenye kioo au unajirecord uku unazungumza,au km una wadogo zako,marafiki au unaweza ukawa unazungumz au wanakusikiliza😂,na pia kwenye interview usijitenge sana meet na watu unaangalia wenzio wana nini naamini kuna vitu unaweza ukagain namaanisha usijitenge sana otherwise unajiamini na ulichonacho kichwani,ila sio mbaya ukajimix au ukawa na mtu mmoja mnashare mawili matatu,au umix na wngine ,Nway tusiache kumuomba Mungu atusimamie kwenye hizi hussle.
 
Wewe ni wa kupuuzwa tu sina time, sijui huwa unajitafakali kweli yaani kazi kuwakatisha tamaa wasaka ajira humu, angalia wenzako humu wanatoa pongezi na hongera na kuwapa mwongozo na kuwajibu maswali wanayo ulizwa humu pia na kuwatia moyo watu humu, ila wewe sijui una hakiri za kushikiwa!
Hakiri ndio nini? Mi sijakatisha mtu tamaa, mi nasema tu uhalisia TRC ni jumba bovu, wakiboresha pia tutajua mambo mazuri sasa namkatisha nani tamaa hapo? Watu wenye victimization mentality kama wewe ndio wataona wamekatishwa tamaa ila watu ambao wanajua wako responsible kwaajili ya future zao watachukua kama changamoto na kupambana. Don't be naive the world is not that too kind, unataka ufarijiwe ili iweje ???
 
Ndugu zangu nafasi zilizotoka si haba,Nadhan na nyingine nyingi zitatoka,si vibaya ukaanza kujiandaa ukasoma materials yako basing na job description utapata areas za kufocus zaidi,kama kuna magroup au unaweza ukaanzisha WhatsApp group mkajisomea naamini watu wana materials ya kutosha hasa ukikutana wa kada moja na kupeana moyo,wengine mnaweza ata mkameet face to face for discussion ata mara 2 au 1 kwa wk au zaid kulingana na mtakavyokubaliana na mkashare kwa wngine ambao wapo mbali au wanashindwa kukutana,discussion zinasaidia mno,kingine kwenye oral interview za PSRS maswali meng yanabase kwenye job description kulingana na kada husika,na most of the questions utaambiwa umention na sometimes short explanation tena labda kama wanahitaji kujua uelew wako zaid au point wakitak kuelew zaid ulichosema,swali linalohitaj ujielezee sana ni swali la kwanza la tell us about yourself ambalo lina base kwnye education background na professional yako na baada ya kuelezea apa unaweza ukafinalize kwa kusema kwa nini unatak hii kazi na jinsi ulivyo competent au skills gani uko nazo zinazofanya uwe bora kwa kazi hiyo. Lakini pia wazungu wanasema hivi confidence comes from good preparation,so kujiandaa ni bora zaidi,wengine bhn wako vizuri na maswali yanaweza kua simple but wanashindwa kupresent walichonacho mbele za watu,unaweza kujifanyia self practice unajitazama kwenye kioo au unajirecord uku unazungumza,au km una wadogo zako,marafiki au unaweza ukawa unazungumz au wanakusikiliza😂,na pia kwenye interview usijitenge sana meet na watu unaangalia wenzio wana nini naamini kuna vitu unaweza ukagain namaanisha usijitenge sana otherwise unajiamini na ulichonacho kichwani,ila sio mbaya ukajimix au ukawa na mtu mmoja mnashare mawili matatu,au umix na wngine ,Nway tusiache kumuomba Mungu atusimamie kwenye hizi hussle.
Huu ushauri naona uliuandaa kitambo...tunashukuru
 
Kwa wale wa DBA I can help.
 
Leta nondo madam watu turuke nazo
 
Back
Top Bottom