Ya kasumbe
Member
- Oct 14, 2023
- 24
- 57
Kuanzia miezi mitatu hadi minne.. lakini hawatabirikiWakuu hivi inachukua muda gani kuita watu kwenye usail written baada ya tangazo la kazi kufungwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia miezi mitatu hadi minne.. lakini hawatabirikiWakuu hivi inachukua muda gani kuita watu kwenye usail written baada ya tangazo la kazi kufungwa
Hakuna muda maalum mwaisa ila anzia mwezi mmoja toka deadline inategemeana na unaraka wa taasisi husikaWakuu hivi inachukua muda gani kuita watu kwenye usail written baada ya tangazo la kazi kufungwa
Ata kwenye pdf haipo labda umeangalia vibaya kama umeona screen shot tuma hapa
Asante mwaisa ngoja nianze kupiga kitabu mkuuHakuna muda maalum mwaisa ila anzia mwezi mmoja toka deadline inategemeana na unaraka wa taasisi husika
Maana zipo saili za taasisi nimewahi omba baada ya mwezi tukapiga interview
Kifupi ukkshaapply tu na imesoma received anza kukomaa kusoma usisubiri shortlist,hii itakusaidia kuwa fit na comfidence kuelekea kwenye mtihani kuliko zima moto,
Soma vzr kwa kufuata hizo job description
Maandalizi mema mpwa😁
Mkuu kama ni IT degree hatupo kwenye hii pdf ya MDA n LGA...
Oh kumbe.Mkuu kama ni IT degree hatupo kwenye hii pdf ya MDA n LGA...
Nadhani kwakuwa bado database tupo wengi alafu kuna nafasi nyingi hawajaita..TCRA, TBC n.k,
Mimi mpk sasa nina received 7 na nyingine niliziacha
Aah bhana bhna received 7 sio kitoto,yanii sasa ivi apo komaaa apo tunasema litakufa jitu...afe beki afe kipa lazima kinuke kbisaaaa🤣💪Mkuu kama ni IT degree hatupo kwenye hii pdf ya MDA n LGA...
Nadhani kwakuwa bado database tupo wengi alafu kuna nafasi nyingi hawajaita..TCRA, TBC n.k,
Mimi mpk sasa nina received 7 na nyingine niliziacha
Mwanangu, received 7 hapo ukifika oral zote afu ukikosa kazi aisee em jaribu kurudi nyumbani kwa wazazi wakakuangalie unakosea wapi 😎Mkuu kama ni IT degree hatupo kwenye hii pdf ya MDA n LGA...
Nadhani kwakuwa bado database tupo wengi alafu kuna nafasi nyingi hawajaita..TCRA, TBC n.k,
Mimi mpk sasa nina received 7 na nyingine niliziacha
Kwa IT hizo ni kawaida sema inatakiwa uchague unakufa na ipi hapo...Mwanangu, received 7 hapo ukifika oral zote afu ukikosa kazi aisee em jaribu kurudi nyumbani kwa wazazi wakakuangalie unakosea wapi 😎
Mchawi practical😀😀😀 hizi iT interview 3 si mchezoKwa IT hizo ni kawaida sema inatakiwa uchague unakufa na ipi hapo...
Huwezi kujua zote
Practical ndio mlima...unachagua wap ambapo unahis unaweza...ukileta ujuaji unakosa kote.. 😂Mchawi practical😀😀😀 hizi iT interview 3 si mchezo
Mnachujwa mpka msuzike
Hakiri ndio nini? Mi sijakatisha mtu tamaa, mi nasema tu uhalisia TRC ni jumba bovu, wakiboresha pia tutajua mambo mazuri sasa namkatisha nani tamaa hapo? Watu wenye victimization mentality kama wewe ndio wataona wamekatishwa tamaa ila watu ambao wanajua wako responsible kwaajili ya future zao watachukua kama changamoto na kupambana. Don't be naive the world is not that too kind, unataka ufarijiwe ili iweje ???Wewe ni wa kupuuzwa tu sina time, sijui huwa unajitafakali kweli yaani kazi kuwakatisha tamaa wasaka ajira humu, angalia wenzako humu wanatoa pongezi na hongera na kuwapa mwongozo na kuwajibu maswali wanayo ulizwa humu pia na kuwatia moyo watu humu, ila wewe sijui una hakiri za kushikiwa!
Huu ushauri naona uliuandaa kitambo...tunashukuruNdugu zangu nafasi zilizotoka si haba,Nadhan na nyingine nyingi zitatoka,si vibaya ukaanza kujiandaa ukasoma materials yako basing na job description utapata areas za kufocus zaidi,kama kuna magroup au unaweza ukaanzisha WhatsApp group mkajisomea naamini watu wana materials ya kutosha hasa ukikutana wa kada moja na kupeana moyo,wengine mnaweza ata mkameet face to face for discussion ata mara 2 au 1 kwa wk au zaid kulingana na mtakavyokubaliana na mkashare kwa wngine ambao wapo mbali au wanashindwa kukutana,discussion zinasaidia mno,kingine kwenye oral interview za PSRS maswali meng yanabase kwenye job description kulingana na kada husika,na most of the questions utaambiwa umention na sometimes short explanation tena labda kama wanahitaji kujua uelew wako zaid au point wakitak kuelew zaid ulichosema,swali linalohitaj ujielezee sana ni swali la kwanza la tell us about yourself ambalo lina base kwnye education background na professional yako na baada ya kuelezea apa unaweza ukafinalize kwa kusema kwa nini unatak hii kazi na jinsi ulivyo competent au skills gani uko nazo zinazofanya uwe bora kwa kazi hiyo. Lakini pia wazungu wanasema hivi confidence comes from good preparation,so kujiandaa ni bora zaidi,wengine bhn wako vizuri na maswali yanaweza kua simple but wanashindwa kupresent walichonacho mbele za watu,unaweza kujifanyia self practice unajitazama kwenye kioo au unajirecord uku unazungumza,au km una wadogo zako,marafiki au unaweza ukawa unazungumz au wanakusikiliza😂,na pia kwenye interview usijitenge sana meet na watu unaangalia wenzio wana nini naamini kuna vitu unaweza ukagain namaanisha usijitenge sana otherwise unajiamini na ulichonacho kichwani,ila sio mbaya ukajimix au ukawa na mtu mmoja mnashare mawili matatu,au umix na wngine ,Nway tusiache kumuomba Mungu atusimamie kwenye hizi hussle.
Kwa wale wa DBA I can help.Ndugu zangu nafasi zilizotoka si haba,Nadhan na nyingine nyingi zitatoka,si vibaya ukaanza kujiandaa ukasoma materials yako basing na job description utapata areas za kufocus zaidi,kama kuna magroup au unaweza ukaanzisha WhatsApp group mkajisomea naamini watu wana materials ya kutosha hasa ukikutana wa kada moja na kupeana moyo,wengine mnaweza ata mkameet face to face for discussion ata mara 2 au 1 kwa wk au zaid kulingana na mtakavyokubaliana na mkashare kwa wngine ambao wapo mbali au wanashindwa kukutana,discussion zinasaidia mno,kingine kwenye oral interview za PSRS maswali meng yanabase kwenye job description kulingana na kada husika,na most of the questions utaambiwa umention na sometimes short explanation tena labda kama wanahitaji kujua uelew wako zaid au point wakitak kuelew zaid ulichosema,swali linalohitaj ujielezee sana ni swali la kwanza la tell us about yourself ambalo lina base kwnye education background na professional yako na baada ya kuelezea apa unaweza ukafinalize kwa kusema kwa nini unatak hii kazi na jinsi ulivyo competent au skills gani uko nazo zinazofanya uwe bora kwa kazi hiyo. Lakini pia wazungu wanasema hivi confidence comes from good preparation,so kujiandaa ni bora zaidi,wengine bhn wako vizuri na maswali yanaweza kua simple but wanashindwa kupresent walichonacho mbele za watu,unaweza kujifanyia self practice unajitazama kwenye kioo au unajirecord uku unazungumza,au km una wadogo zako,marafiki au unaweza ukawa unazungumz au wanakusikiliza😂,na pia kwenye interview usijitenge sana meet na watu unaangalia wenzio wana nini naamini kuna vitu unaweza ukagain namaanisha usijitenge sana otherwise unajiamini na ulichonacho kichwani,ila sio mbaya ukajimix au ukawa na mtu mmoja mnashare mawili matatu,au umix na wngine ,Nway tusiache kumuomba Mungu atusimamie kwenye hizi hussle.
Leta nondo madam watu turuke nazoNdugu zangu nafasi zilizotoka si haba,Nadhan na nyingine nyingi zitatoka,si vibaya ukaanza kujiandaa ukasoma materials yako basing na job description utapata areas za kufocus zaidi,kama kuna magroup au unaweza ukaanzisha WhatsApp group mkajisomea naamini watu wana materials ya kutosha hasa ukikutana wa kada moja na kupeana moyo,wengine mnaweza ata mkameet face to face for discussion ata mara 2 au 1 kwa wk au zaid kulingana na mtakavyokubaliana na mkashare kwa wngine ambao wapo mbali au wanashindwa kukutana,discussion zinasaidia mno,kingine kwenye oral interview za PSRS maswali meng yanabase kwenye job description kulingana na kada husika,na most of the questions utaambiwa umention na sometimes short explanation tena labda kama wanahitaji kujua uelew wako zaid au point wakitak kuelew zaid ulichosema,swali linalohitaj ujielezee sana ni swali la kwanza la tell us about yourself ambalo lina base kwnye education background na professional yako na baada ya kuelezea apa unaweza ukafinalize kwa kusema kwa nini unatak hii kazi na jinsi ulivyo competent au skills gani uko nazo zinazofanya uwe bora kwa kazi hiyo. Lakini pia wazungu wanasema hivi confidence comes from good preparation,so kujiandaa ni bora zaidi,wengine bhn wako vizuri na maswali yanaweza kua simple but wanashindwa kupresent walichonacho mbele za watu,unaweza kujifanyia self practice unajitazama kwenye kioo au unajirecord uku unazungumza,au km una wadogo zako,marafiki au unaweza ukawa unazungumz au wanakusikiliza😂,na pia kwenye interview usijitenge sana meet na watu unaangalia wenzio wana nini naamini kuna vitu unaweza ukagain namaanisha usijitenge sana otherwise unajiamini na ulichonacho kichwani,ila sio mbaya ukajimix au ukawa na mtu mmoja mnashare mawili matatu,au umix na wngine ,Nway tusiache kumuomba Mungu atusimamie kwenye hizi hussle.
Safi mkuu...Kwa wale wa DBA I can help.
Ili msahau waweke ndugu zaoWanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Akuandas kitambo sema 😀😀Kafanya ku paste mbona alichokiandika kipo mitandaoni hakuna mpya hapoHuu ushauri naona uliuandaa kitambo...tunashukuru