Hongera mtumishi wa Mungu, ukawe mtumishi mzuri katika kitengo chako cha kaziIkiwa MUNGU amenikumbuka mimi, akakukumbuke na wewe. Jamani na mimi namtukuza huyu BWANA. Tusikate tamaa. Ni hilo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mtumishi wa Mungu, ukawe mtumishi mzuri katika kitengo chako cha kaziIkiwa MUNGU amenikumbuka mimi, akakukumbuke na wewe. Jamani na mimi namtukuza huyu BWANA. Tusikate tamaa. Ni hilo tu.
Hawajui ni Wizara, Idara zinazojitegemea wakala WA serikali (ministry department and agency) na local government authority.Hivi mnajua vizuri M D A ni nini? na LGA ni nini?
Thank you so muchHongera mtumishi wa Mungu, ukawe mtumishi mzuri katika kitengo chako cha kazi
Thank youuuuu Mwifwa. Senior wetu kabisaHongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Hongera sanaIkiwa MUNGU amenikumbuka mimi, akakukumbuke na wewe. Jamani na mimi namtukuza huyu BWANA. Tusikate tamaa. Ni hilo tu.
Mkuu apo kweny Misitu ni diploma tuu, bachelor after two years ndo wametangaza juzi nafas 91Wavuvi, wa misitu [emoji119][emoji119][emoji119] sijui mmewaonga nini utumishi[emoji28]
God is Good all the time!Ikiwa MUNGU amenikumbuka mimi, akakukumbuke na wewe. Jamani na mimi namtukuza huyu BWANA. Tusikate tamaa. Ni hilo tu.
God is Good all the time! Praise to God!Ndg zangu nashukuru Mungu nimefikiwa. What I learn from this struggle ndg zangu. Tumuombe sana Mungu anatenda.
Thank youuuuu Mwifwa. Senior wetu kabisa
Vipi ya nyuki wadogo au juice ya parachichi?Thank youuuuu Mwifwa. Senior wetu kabisa
Wavuvi walikuwa wamesahaulika toka 2022 leo wameibukaWavuvi, wa misitu 🙌🙌🙌 sijui mmewaonga nini utumishi😅
Kwa wahusika na walio Interested.View attachment 3062187
Hivi barua ya utambulisho ya mwezi wa pili ambayo ilitumika kwenye usaili unaweza kwenda nayo tena mwezi wa nane kwenye usaili mwingine au mpaka utafute nyingine ya mwezi wa nane
Ok Asante sana 🙏Nadhani inafaa. Maana kama serikali ya mtaa wamekutambua mwezi wa pili, haina maana ikifika mwezi wa nane utakua sio mkazi wa hapo. Nafahamu utambulisho wa SM unatumika in lieu ya kitambulisho cha taifa.
pinacoladee ntumie buku rafiki angu ntakufaUkiingia kwenye ile option ya vacancies,au kwenye ajira Portal login tangazo la kazi linaonekanaga lote?mfano utume wapi?
Hata sijui aiseeHivi hawa IHI internship zao huwa ni paid? Kuna other benefits apart from salary??
😂😂😂Utabili wangu haujawahi kufeli😂Enzi za wizy alias Yusuf Dikey wa Olympic [emoji2][emoji2]
Hiyo J inabidi uithibitishe kwa Kiapo kuwa ndio imesimama badala ya Juma.Habari wakuu,,
Naomba msaada katika hili, sijawahi udhuria saili yoyote ila mwezi huu nategemea kuhudhuria saili kadhaa. Ipo hivi majina yangu kwenye vyeti vya kielimu yapo matatu ila jina la kati kati ni initial lakini majina ya kwenye NIDA na cheti cha kuzaliwa yanasoma yote matatu full
Mfano: vyeti vya shule Abdul J. Bakuri
NIDA: Abdul Juma Bakuri
Cha kuzaliwa: Abdul Juma Bakuri
Je,? siku ya usaili haiwezi niletea shida??
Ahsanten[emoji120]