Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Barua zote za ajira kutpitia PSRS zinaelekezwa kwa katibu utumishi, hakuna barua inayokuwa na address ya taasisi tofauti na utumishi.
Sio zote. Inategemea na mwajiri
Screenshot (309).png
 
Msaada wakuu, anwani (picha ya kwanza) ya kazi za wiki iliyopita (MDAs & LGAs). Mimi niliandika hivyo (picha ya chini) lakini kuna mtu kaniambia nimekosea kwa kuongeza hiyo MDA & LGA, na Asha rose migiro building. Je Address naiandika kama ilivyo juu na siongezi chochote au?.
Screenshot 2024-08-13 at 12.37.14.png
Screenshot 2024-08-13 at 12.27.17.png
 
Msaada wakuu, anwani (picha ya kwanza) ya kazi za wiki iliyopita (MDAs & LGAs). Mimi niliandika hivyo (picha ya chini) lakini kuna mtu kaniambia nimekosea kwa kuongeza hiyo MDA & LGA, na Asha rose migiro building. Je Address naiandika kama ilivyo juu na siongezi chochote au?. View attachment 3068596View attachment 3068595
Hutakiwi kuongeza chcht kwenye address zaid ya ile uliyopewa, em ngoja wataalamu waje
 
Msaada wakuu, anwani (picha ya kwanza) ya kazi za wiki iliyopita (MDAs & LGAs). Mimi niliandika hivyo (picha ya chini) lakini kuna mtu kaniambia nimekosea kwa kuongeza hiyo MDA & LGA, na Asha rose migiro building. Je Address naiandika kama ilivyo juu na siongezi chochote au?. View attachment 3068596View attachment 3068595
Hiyo ya juu mbona ni address tosha tena imeshiba kabisa, hiyo ya chini ni mbwembwe na kujaza karatasi tu...na nafikiri tangazo lolote la kazi lina address mwishoni, kwani Hilo halikuwa na address?
 
Lilikua nayo ni hiyo ya juu, Ndio mara ya kwanza ku-apply kwahiyo tunaiga tu (address) ya mfano wa barua mtu aliokutumia haahaha.
 
Msaada wakuu, anwani (picha ya kwanza) ya kazi za wiki iliyopita (MDAs & LGAs). Mimi niliandika hivyo (picha ya chini) lakini kuna mtu kaniambia nimekosea kwa kuongeza hiyo MDA & LGA, na Asha rose migiro building. Je Address naiandika kama ilivyo juu na siongezi chochote au?. View attachment 3068596View attachment 3068595
Ni kweli ulikosea kwenye anuani uliyoambiwa andika kama ilivyo
Usiweke maneno ambayo hayapo
MDA &LGA yamefuata nn hapo?
unayemuandikia barua ni katibu mkuu wa psrs na hayupo MDA & LGA
Anuani inaonesha ofisi ilipo, mkuu jitahidi kuandika kilichoandikwa usiweke utopolo mwingine ukiamini unaonesha ufundi wa uandishi😁😁

Ukipewa anuani we fanya ku copy and paste kama ilivyo pale kwenye Tangazo
 
Tumia address iliyoandikwa kwenye TANGAZO
wakuu jitahidini sana kusoma tangazo lote mpaka mwisho
nyie ni wasomi,mnaulize maswali ya ajabu sana
Mfano ww ni mwalimu kabisa lakin tangazo hujasoma na unakuja kuuliza hapa😀😀
Mkuu hizo ajira zipo kwenye ajira portal na ndiyo maana nikaomba kama analo tangazo anisaidie
 
Back
Top Bottom