Ikifuata utaratibu ni miezi kama 2 au 3Kupata cheti mbadala NECTA INACHUKUA MUDA GANI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifuata utaratibu ni miezi kama 2 au 3Kupata cheti mbadala NECTA INACHUKUA MUDA GANI?
Alipopelekwa ni kutafuta machimbo ya ajira na huyu Jamaa akiendelea na msimamo wake alionyesha Utumishi tutaona Taasisi ambazo toka PSRS kuazishwa hazijawai kutangaza........Ridhiwani toka aingie, pdf zimepungua
Atulie afuate utaratibu..mambo ya interns hayapo, wakafanye mitihaniAlipopelekwa ni kutafuta machimbo ya ajira na huyu Jamaa akiendelea na msimamo wake alionyesha Utumishi tutaona Taasisi ambazo toka PSRS kuazishwa hazijawai kutangaza........
Sema Naibu aliyeletwa sasa kashaaza na mambo ya Intern tunawafikiria hapo ndo tutaona Mengi zaid....
Mwenzake ndo alikuwa na Misimamo hiyo.....!!!Atulie afuate utaratibu..mambo ya interns hayapo, wakafanye mitihani
Wewe unasema wakati tumetuma maombi Toka Mwezi march mpk sasa hakuna matokeo😂Wanajamvi,
Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
Na isipofuata utaratibu je inakua kwa kipindi gani?Ikifuata utaratibu ni miezi kama 2 au 3
Imeshaenda hiyo niliandika englishKwa uzoefu wangu wa kiswahili cha kuandika kanuni pale mtaani; Admission Officer II ataitwa Afisa Udahili Daraja la Pili na QA Officer II ataitwa Afisa Udhibiti Ubora Daraja la Pili.
Kwa hiyo bora kingereza siokwa kiswahili hakuna coz haileti maana nzuri
Kama ni level ya degree then unaandika barua kiswahili inakuwa sio poa otherwise uambiwe andika kwa kiswahili kulingana na tangazo, alafu hata zile interview wanazo kuambia chugua lugha kati ya kiswahili na kingereza ni vizuri utumie kingereza , otherwise waseme wenyewe tumia kiswahili tu!Kwa hiyo bora kingereza sio
Shukran sana brother mwifw nimeelewa vyema.Second round au replacement huwa inatokea ambapo aliyepangiwa kituo mwanzo hakwenda kuripoti, badala yake anapangiwa mtu mwingine aliyefaulu Oral kwenda kujaza hiyo nafasi.
Kuna kitu kinaitwa Database(kama huna uelewa nacho), ni ambapo mtu akifanya Oral akafaulu halafu akakosa nafasi kwa muda huo, mf nafasi ilikuwa 1, Oral wakaenda watu 10, hapo mmoja atapata nafasi wengine watabaki databas. Baadae nafasi zikipatikana popote hao waliobaki watapangiwa vituo vya kazi.
Bila shaka utakuwa umeelewa kuhusu swali lako
Ndio Tangazo lilisema tuandike kiswahiliKama ni level ya degree then unaandika barua kiswahili inakuwa sio poa otherwise uambiwe andika kwa kiswahili kulingana na tangazo, alafu hata zile interview wanazo kuambia chugua lugha kati ya kiswahili na kingereza ni vizuri utumie kingereza , otherwise waseme wenyewe tumia kiswahili tu!
Nilichokuwa nauliza mm ni kuwa sikuona kiswahili fasaha cha neno admission officer na quality assurance moja kwa moja hivo hayo maneno niliyatumia kama walivyoandikaKama ni level ya degree then unaandika barua kiswahili inakuwa sio poa otherwise uambiwe andika kwa kiswahili kulingana na tangazo, alafu hata zile interview wanazo kuambia chugua lugha kati ya kiswahili na kingereza ni vizuri utumie kingereza , otherwise waseme wenyewe tumia kiswahili tu!
Hongera kwa kuapply ila usiache kuhudhuria usaili kama ambavyo umesema uhendi tarehe 24Nilichokuwa nauliza mm ni kuwa sikuona kiswahili fasaha cha neno admission officer na quality assurance moja kwa moja hivo hayo maneno niliyatumia kama walivyoandika
Imeshaenda hiyo niliandika english
Zaidi ya milion na kitu😀😀nauli + kula + kulalaWakuu nina recieved 11 nijiandae na bajeti ya shingapi kuhudhuria saili zote zitakazonihusu pale dodoma mimi nipo dar
Mkuu upo serious?Zaidi ya milion na kitu😀😀nauli + kula + kulala
Tufanye mfano received zote hizo zimefatana kwa mpangilio mzuri,Wakuu nina recieved 11 nijiandae na bajeti ya shingapi kuhudhuria saili zote zitakazonihusu pale dodoma mimi nipo dar
Hivi NIT ni chuo cha serikali au binafsi mkuu naona kuna recieved nyingine inaelea pande zile mwaka huu watatuuaZaidi ya milion na kitu😀😀nauli + kula + kulala
Tangazo limesema lugha 2 kiswahili na english kaka wewe waza yakoTangazo la kazi la kingereza umeandika barua ya kiswahili ya nini? I mean sio sheria lakini ni sawa na mtu akusalimie good morning halafu umjibu salama mzima??