Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

nahis wataangalia Current address iliyojaza kwenye acc. yako
aloo assume ulijaza adress uko Kagera katika harakati za maisha ukaenda mkoa wa katavi hapo huoni itakuwa ni changamoto, why wasiweke mfumo wa mtu kufanyia mkoa wowote tu ilimradi details zake za mfumo ziko sawa na kwenye mkeka wa watu wa kufanya usahili yupo
 
Mambo yameiva aisee
20240826_104443.jpg
 
Mkuu najua sitatoboa kwa nafasi hiyo na lengo langu mm ilikua kuingia oral tu kaka
Acha ujinga mdogo wangu,kwann unajikatia tamaa mwaisa hiyo nafasi ni yako Mungu yuko pamoja nawe,Hongera kwa kupita hatua ya mchujo
Ingia bungeni ili nikija dodoma uwe unanipokea na kunitembeza mitaani😀😀
Maandalizi mema kuelekea oral
 
kwenye account si hua wanasema tu kua upo selected for oral sasa umejuaje kama umekua wa mwisho kwenye max
Katupiga tango pori basi kama kwenye tovhti bado hawajaweka huwezi kuona alama
Nafikiri anajifariji tu atakua amekula ndoige ndo maana anajiwahi najua sitapata😂 kumbe kwenye akaunt kaandikiwa Not selected for oral interview,Mwaisa unatuangusha sasa
 
Katupiga tango pori basi kama kwenye tovhti bado hawajaweka huwezi kuona alama
Nafikiri anajifariji tu atakua amekula ndoige ndo maana anajiwahi najua sitapata[emoji23] kumbe kwenye akaunt kaandikiwa Not selected for oral interview,Mwaisa unatuangusha sasa

Mkeka upo nimeona kwenye ma group huko jamaa itakuwa kweli katoboa oral, kwanza kwanini adanganye? Mimi naamini kaingia oral na namtakia kila la heri kwenye safari yake.
 
Back
Top Bottom