Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Unamshaurije aliyepata 13😂 watu 270 wameshindwa kufika 50 lakin hawa wana GPA zilizo simama na div one za kutosha😂
Utumishi wa moto sana
Nimekua nikihidhuria mikando toka mwaka 2022. Katika mabadiliko haya, mikando inazidi kuwa migumu, mosi, coverage, aptitude inatoa fursa kwa wakandaji kutunga mkando kwa topic/modules/course nyingi zaidi.
 
Nilijua tu mtafurahi kusikia sijatoboa umbwa ninyi ngoja litoke pdf miez kadhaa mbele nije nitoe ushuhuda
usifanye hasira mkuu hapa ndani sote ni wanoja ndo maana tunapeana mbinu namna ya kupasua kila mmoja anatamani mwenzake apasue kuwa na amani na kuwa mkweli unapofanikiwa maana unakuwa unamtia moyo mwingine
Hakuna anayefurahia ushindwe kwa hapa jamvini lakini huko mtaani kwenu😀
 
Hizi amptitude test wanatunga au wanaokota madesa mtandaoni?
Wanatunga, kwa uzoefu wangu, kama kada ni accounts officer II katika maandalizi usikomae na financial accounting peke yake, japo job description zime-base katika hilo. Lazima ukomae na cost and management accounting, auditing na hata finance. Aptitude zinaumiza hasaa.
 
Huu wa utumishi hautoi marks hapo hapo mkuu,utaambiwa tu kwenye account yako selected or not selected for oral interview na baadaye marks kwebye pdf
Yeah, ni kweli ulichoandika.

System ya tume ya mahakama, aptitude ukimaliza tu, mark zako unaziona chap, unasubiri tu status ambayo hutumwe private.
 
Unamshaurije aliyepata 13😂 watu 270 wameshindwa kufika 50 lakin hawa wana GPA zilizo simama na div one za kutosha😂
Utumishi wa moto sana
Mkuu ile interview picha linaanza walikuja na maaskari wameshika bunduki na lundo la viongozi mtihani unasindikizwa, walipokonya simu, saa haijalishi ni aina gani, hela, wallet muda lisaa limoja maswali matano objective na subjective matano

Maswali yana pande mbili challange na ways to overcome challanges

Muda tulipigwa sana unaambiwa bado dk 10 umefanya maswali mawili tu.

Lakini hizi hoja ni zaifu kwa aliepita kwenda oral mkuu hawezi kuzingatia ina maana kwa wastani kila swali unatakiwa kujibu ndani ya dk 6 bado muda wa kufikilia uchague ujibu lipi

Mtihani ulikua easy mpaka 4rs za mama zilikuepo

Experience is the best teacher ever
 
Bunduki zilikuja kuwatisha ili muzimie au 😀😀
Umepata experience mkuu kwa kifupi ulivyoeleza hapo vyote ni taratibu za mitihani ya psrs bilashaka utakuwa balozi mzuri na kuwaelekeza wengine wajiandae vyema wanapoenda kwenye pepa za utumishi
Kwa kifupi utumishi sio poa hawana dini😀 na unapata 5 au 0 huku unajiona
 
Mkuu sikuwahi huzulia interview since way back namaliza chuo 2021
 
Mkuu ile interview picha linaanza walikuja na maaskari wameshika bunduki na lundo la viongozi mtihani unasindikizwa, walipokonya simu, saa haijalishi ni aina gani, hela, wallet muda lisaa limoja maswali matano objective na subjective matano

Maswali yana pande mbili challange na ways to overcome challanges

Muda tulipigwa sana unaambiwa bado dk 10 umefanya maswali mawili tu.

Lakini hizi hoja ni zaifu kwa aliepita kwenda oral mkuu hawezi kuzingatia ina maana kwa wastani kila swali unatakiwa kujibu ndani ya dk 6 bado muda wa kufikilia uchague ujibu lipi

Mtihani ulikua easy mpaka 4rs za mama zilikuepo

Experience is the best teacher ever
Kwahiyo mkuu hukupita kwenda oral au sio
 
Back
Top Bottom