Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari naomba kuuliza hivi prs wanatumia vigezo gani kuchagua watu wengine wafanye usahili wa mahojiano pekee na sio wa written halafu akafata oral
 

Attachments

  • Screenshot_20240829-082604_Adobe Acrobat.jpg
    Screenshot_20240829-082604_Adobe Acrobat.jpg
    740.3 KB · Views: 4
Habari naomba kuuliza hivi prs wanatumia vigezo gani kuchagua watu wengine wafanye usahili wa mahojiano pekee na sio wa written halafu akafata oral
Huwa wanaangalia idadi ya walio omba na wanaohitajika. Ikitokea watu walioomba ni wachache hao hupita moja kwa moja usahili wa mahojiano( oral)
 
Wewe mbaga acha umbea ndo maana yule mzee kwenye Uzi wa Tamisemi amekupa laana
Mm na tamisemi wap na wap?
Mzee yupi wa tamisemi?

Anyway, nimefurahi kukuona umerud tena mana kwa hali uliyokuwa nayo jana ungeweza ht kujiua 😂
 
Hivi kuna mtu ana diploma na hajui kutumia computer?..
Presentation alikuwa hafanyi?
Report aliandika kwa kutumia nin?
Nadhani kwa kada hii ya afya wameona tuu wafanye wa kuandika ila si kwamba hawajasoma computer
Mitaala ya taaluma yeyote kuanzia ngazi ya certificate na kuendelea computer ipo ndani,lazima asome computer basic skills ata fani zile za veta wale wenye D wanasoma computer basic skills
Nadhani wao wameona wafanye usaili wa kuandika
Ila kwa alioshia kidato cha 4 au 6 kutojua computer ni sahihi shule nyingi za kata hazina hili somo
 
Back
Top Bottom