Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Tuna Selected for Oral
Haijawahi kubadilika
Mwaka haujaisha
Na Sasa tupo kwenye usaili wa kada ileile.
Inategemeana na ulifanya kwenye taasisi ipi kama ji LGAs&MDAs huwa aibadililiki hta kama umefnya orral itabaki hivyo selected for oral.ila kama umfanya hzi taasisi za kujitegemea mfano bunge na nyingine hzi , baada ya oral kma ujafaulu huwa zinaonyesha kabisa not selected . Maana yake ujafaul interview yao ya baadaa ya oral.
Naoongea hivi from experience ya interview yabinge juzi hapa
 
Ok ni Hawa Hawa wazinguaji
MDA&LGA.
 
M

Mkuu ulifanya oral ya bunge
 
Wakuu.
Kuna dogo hapa kapata multiple selection hizi za vyuo vikuu.
1. bachelor of science in renewable energy engineering -UDOM
2. agricultural engineering - SUA
3. bachelor of technical education in electrical and electronics engineering - MUST

Naombeni ushauri hapo apite na kozi gqni ?
 
Mpaka Sasa hivi haja-comfirm kwenda SUA agricultural engineering anasubiri Nini.
 
Wakuu.
Kuna dogo hapa kapata multiple selection hizi za vyuo vikuu.
1. bachelor of science in renewable energy engineering -UDOM
2. agricultural engineering - SUA
3. bachelor of technical education in electrical and electronics engineering - MUST

Naombeni ushauri hapo apite na kozi gqni ?
Kulingana na upepo wa Mikeka inayotoka kwa saa hivi Agricultural engineering wanakimbiza. Hatujui kwa miaka ijayo.
 
Back
Top Bottom