Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Manga kweli wear ni msababato jamaa mbishi sana.

Ajira za afya walitoa kwa acc baadae wakatoa kwa PDf kesho yake.

Walimu nao wametoa kwa acc pdf zinafuata baadae kesho
Nikikumbuka hizi ajira za afya, nime hustle sana 😊😊😊
Screenshot_20241014_231034_Chrome.png
 
Izo za tutorial assistant naona wrong application letter
Hizo nshawah kuzileta humu jukwaani, hizo n application za mshikaji wangu nmemfanyia sasa nilimwambia aandike barua afu anitumie kwa sms ili nifanye copy and paste ila akakosea kwenye sanduku la posta na Mm sikuzingatia hapo ndio ikawa shida.
 
Duu pole Mkuuu
 
Back
Top Bottom