Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Msaada, kuna mtu kaniambia nimsaidie kuangalia majina ya usaili sijui, yeye ni mwalimu, kanipa email na password ya email, najaribu kuforgot password naambiwa email not found Kweny system ya ajira portal kasema. Nikiingia direct nakuta ujumbe 'under maintenance '
 
Relax bro nadhani wote account zetu zimekua hivo ila huko mbele zitafunguka tu hamna hata haja ya kuforget password
 
Wameshaanza kuvunja vunja pdf, naskia hizo ni za afya kati ya zile zilizofanywa mwezi wa 9
Wale wa afya wakae mkao wa kula tangu sasa hadi mwisho wa mwaka! Bila shaka pdf zitafululiza! Naona MDA ndo wametangulia, bila shaka LGA nao watafuatia!!
 
Back
Top Bottom