Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hapana kaka nilichoka mkataba nilikuwa nataka Nipate ajira ya Ku settle na kufanya maisha.

Kaka mshukuru sana mungu hapo akiri ita settle na kufikilia maisha kuna wengi wanafunga na kuomba kupata nafasi kama hyo ila bado awajazipata, achana na sauti zinazokwambia habari za mishahara sijui nini.. Ww mshukuru mungu sana tena sana.
 
Tafrani tupu. Mimi nilifurahi walimu kuitwa usaili ili wamalizane nao na sie gombania goli tuendelee lakini hali ishakuwa mbaya sie wengine tutaitwa usaili mwakani kama ndio mpaka wamalizane na walimu.
Mkuu bora wawapige chini kwanza haki sawa ifanyike tu au kama wameshindwa wawaludishe tamisemi tu
 
Tafrani tupu. Mimi nilifurahi walimu kuitwa usaili ili wamalizane nao na sie gombania goli tuendelee lakini hali ishakuwa mbaya sie wengine tutaitwa usaili mwakani kama ndio mpaka wamalizane na walimu.
Ndio neema hiyo. Maana utaitwa kwenye usaili soon
 
  • Thanks
Reactions: jb_
Utumishi mkisafisha data base kwa vijana wenu kwa Taasisi hizi...Hakika hatuna la kusema kwenu
 
Attachments

  • Screenshot_20240128-175503-2.jpg
    Screenshot_20240128-175503-2.jpg
    62.7 KB · Views: 4
Back
Top Bottom