Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 704
- 2,842
Hongera sana Utawala2025 , God is truly faithful kwakweli. Tumekuona humu in a while na kiukweli ulikuwa mmoja wa wanaoactivate hii thread. Kwa wengine tuliobaki, mbele tunaendelea. We keep on trying, praying and daring hata kama ni nafasi moja TU. Hakuna kinachodumu milele duniani, kila hali ni transitional tu. Our Master Author anaandika hadithi zetu kwa muda aonao ni sahihi, lets keep pressing on.