Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

WAKUU NIJIBUNI HII KITU.
KUNA JAMBO SENSITIVE LIMETOKEA,TUCHUKUE HATUA MAPEMA

Ninasema kitu chenye uhakika.
Utumishi wanapoalika watu kwenye panel hawakuwa makini.
Sasa utumishi wao watajuaje kuwa miongonii mwa wasailiwa Kuna mtu ana mpenzii wake humo,,,,kimaadilii ilitakiwa msailii ajitoe kwenye panel wakati mpenzii wake akifanyiwa usailii
 
Back
Top Bottom