Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo sahihi Mkuu lkn Kuna watu walifanya interview mwezi wa pili mwaka jana lakini Leo ndio wameitwa kazini ivyo Kila mtu atafikiwa tuu ni swala la muda tuuKuna pdf huko. Chuo cha sukari wametoa tangazo la kazi mwezi wa 10, January wametoa matokeo. Lakini vyuo vingine tangazo mwezi wa 8, hadi sahivi hamna pdf.
Ooh kumbe, ngoja tuwe wavumilivu.Upo sahihi Mkuu lkn Kuna watu walifanya interview mwezi wa pili mwaka jana lakini Leo ndio wameitwa kazini ivyo Kila mtu atafikiwa tuu ni swala la muda tuu
NomaaUtumishi wametuchoka sasa aisee.. received toka August mwaka uliyopita na no calling for interviews.
View attachment 3192907
Mtaalamu, Usikute jamaa wametuacha ili tujifue vzr ili ile mikando ipungueUtumishi wametuchoka sasa aisee.. received toka August mwaka uliyopita na no calling for interviews.
View attachment 3192907
Apaa mimi izo za quality assurance niliomba zote mbili sijui kma hawajala kichwa quality assurance na admissionsUtumishi wametuchoka sasa aisee.. received toka August mwaka uliyopita na no calling for interviews.
View attachment 3192907
Ninawasisi A/c wananyomi ya watu databse....Utumishi wametuchoka sasa aisee.. received toka August mwaka uliyopita na no calling for interviews.
View attachment 3192907
Mmmh mbona hzo pdf znazotoka account na procurement ni wachache sanaNinawasisi A/c wananyomi ya watu databse....
Na imeonyesha kwenye LGA&MDA A/C hawajaita diploma na degree kuna dalili ya mkeka database..
Budget yao ya mwaka jana inahitaji Account&Procurement wengi...
yame change vpAjira portal mambo yamechange uko wazee
Ninawasisi A/c wananyomi ya watu databse....
Na imeonyesha kwenye LGA&MDA A/C hawajaita diploma na degree kuna dalili ya mkeka database..
Budget yao ya mwaka jana
Ki vipAjira portal mambo yamechange uko wazee
Ili mje mtukarangizie misosomolo sio?hivi utumishi si wangeruhusu na sisi wenye degree tukapige interview za upishi