Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kuna pdf huko. Chuo cha sukari wametoa tangazo la kazi mwezi wa 10, January wametoa matokeo. Lakini vyuo vingine tangazo mwezi wa 8, hadi sahivi hamna pdf.
Upo sahihi Mkuu lkn Kuna watu walifanya interview mwezi wa pili mwaka jana lakini Leo ndio wameitwa kazini ivyo Kila mtu atafikiwa tuu ni swala la muda tuu
 
Utumishi wametuchoka sasa aisee.. received toka August mwaka uliyopita na no calling for interviews.

Screenshot_20250105-091838~2.png
 
hawa utumishi uhuru umezidi sasa yaani wanachukulia majobless kama bibi zao interview gani hizo watu wanasubili miezi mitano au wanatafuta watu wakwenda mars
 
Ninawasisi A/c wananyomi ya watu databse....
Na imeonyesha kwenye LGA&MDA A/C hawajaita diploma na degree kuna dalili ya mkeka database..
Budget yao ya mwaka jana inahitaji Account&Procurement wengi...
Mmmh mbona hzo pdf znazotoka account na procurement ni wachache sana
 
Back
Top Bottom