Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jiandae vizuri kipind hiki cha kabla ujaitwa soma kila kitu
naongezaje bidii na post hakuna na interview ndo kama unavoona miezi sita hola
Muda unakuja ngoja waalimu waishe nazan week mbili kabla ya waalimu kuisha ratiba itakuwa tayari mkuu. Hakuna kukata tamaa umetumia miaka mingi kusoma shule mkuu
 
Jiandae vizuri kipind hiki cha kabla ujaitwa soma kila kitu

Muda unakuja ngoja waalimu waishe nazan week mbili kabla ya waalimu kuisha ratiba itakuwa tayari mkuu. Hakuna kukata tamaa umetumia miaka mingi kusoma shule mkuu
haya bana ngoja tuone.
 
Nimeona matokeo ya usaili wa awali na maendeleo ya jamii yaani watu 900 wamepita kwenda oral watu wa procurement nao ni wa kutoshaa kuna kozi wanaenda kucheka sana aisee.

Pdf itakuwa inatoka na 30 mb kama za afya
 
hao maendeleo ya jamii kuna muda walichukuliwa kama buku hivi naona zali limewarudia tena
 
Oyaa kaka ni wapo wengi yaani cutting points mpaka 50 imagine aliye fail kwa kukosa kujiandaa?? Ina maana ukipata 50 wewe oral na hapo kupangiwa kazi tu ukihudhulia oral.

Sisi wakujifanya vichwa vina akili tukasoma HGE tukasomee uchumi huko moto ndio unawaka alafu wote TGS D MAMAMAMAMEEEEE
 
hao wa maendeleo ya jamii hua wanaitwa mpaka idadi inapitiliza..
 
tutajijua na kozi zetu nani alitutuma tusome🤣🤣
Saiv ningekuwa nipo kijijin ninge fail darasa la saba nina watoto wa 4 na mke na kijumba changu nimetoka shamba nakunywa common muda huu na tumbaku kwa mbaali tunabishana habari za alliens nilizo sikia kuhus story book wasaf fm .sizijui habar za ajira portal

Wala sekretariat😂😂🤣
 
Jiandae vizuri kipind hiki cha kabla ujaitwa soma kila kitu

Muda unakuja ngoja waalimu waishe nazan week mbili kabla ya waalimu kuisha ratiba itakuwa tayari mkuu. Hakuna kukata tamaa umetumia miaka mingi kusoma shule mkuu
Sasa ratiba ya walimu ina ishia mwezi February katikati nadhani hapo kwa alie omba kazi mwezi august ina maana atakuwa amekaa takriban miezi'8 bado hajaitwa, pengine pia wakaita watu wengine wale wa mwezi wa August wasiitwe, kwakweli imekuwa too much wala sio jambo la kawaida utaratibu kwenda hivyo.
 
Mkuu ishu ya walimu haitakuwa rahusi nimemsikia waziri mwenye dhamana akisema wezalisha idadi ya waalimu mamia kwa ma elfu kuliko mahitaji. Ina maana hao waalimu waishe sisi wa august inaweza kata mwaka mkuu.

Bado zile nafasi nyingne za watu wawili. Post ya mtu mmoja na nyingine ni nying kwa kifupi sekretariat wamezidiwa mzigo ni mkubwa

Hii ya waalimu watakao faulu written wachukue cutting point mpaka 70 moja kwa moja wapewe vituo ni wazo langu tu. Kuliko kuendeleza mpaka oral
 
Yan ndio kitu watakacho fanya hapo.. maana ajira za afya pia zimetoka na hizi ajira huwa ziko kisiasa zaidi kwa hyo wanaweza weka wale wa August pending ili wawaite hao wa afya au ma assistant lecturers.
 
Jamaa wanafanya mambo bila weledi kabisa ,ila all in all si tusubiri tu huku tukijiandaa vyema.
 
Yan ndio kitu watakacho fanya hapo.. maana ajira za afya pia zimetoka na hizi ajira huwa ziko kisiasa zaidi kwa hyo wanaweza weka wale wa August pending ili wawaite hao wa afya au ma assistant lecturers.
Unajua ndomana Taasisi nyingine ziliamua kuajiri zenyewe kwa kuendesha sahili zao, uchele weshaji wa mchakato wa kupata watumishi wapya kama ilivyo sasa pale utumishi ilikuwa ni moja ya sababu zao kubwa pia ndio maana waliona mlolongo ni mrefu sana kupitia kwao na kuamua kujitegemea wenyewe.
 
Back
Top Bottom