zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Kuna fisi haelewi humu anataka ale sherehe zote zenye misosi huku na kule na kule mwisho anaishia kuambulia mifupa, fisi yoyote atakae taka kula misosi mingi atachezea kichapo atachapwaNi vyema kuapply moja uwe safe side maana hata wanavokuchagulia post moja uattend interview ni kengele todha kua hukupaswa kuapply mbili