Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Nawakumbusha Tena ndugu zangu

Kwenye address Unatakiwa uandike hivi:-
Commissioner General,
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Sasa kuna wale ambao wajuaji sana wataandika hivi, Mwanakulifind mwanakulipata.

Commissioner General,
Tanzania Revenue Authority
P.O.BOX 11491
MCHAFUKOGE - DAR ES SALAAM

Hapo Tofauti ni ndogo sana ila inaweza kuku cost ajira yako.

View attachment 3234277

Kiongozi hamna Cha ujuaji hapo, addressee ni huyo jamaa. Cg TRA
.. kwahiyo huyo atakaeandika hivo atakuwa sahihi zaidi

Yaani sijui umewaza nn mpka ukaongelea hii.

Ni kitu ndogo sana hiyo..
 
Katika Shortlist vigezo walivyoweka lazima waangalie vyote.

Kama kigezo umekiacha unakuwa umekosa sifa ya kuwa shortlist.

Kuwa shortlist sio kwamba umepata nafasi, hiyo ni hatua moja kati ya hatua nyingi.

Hivyo ili uweze kusonga mbele kwenye hatua zote inabidi kila hatua usiikosee.

Hivyo, jamaa katahadharisha kuhusu anwani jinsi ilivyoandikwa kwenye tangazo ili kuepusha watu kukosea jambo dogo kama hilo na hatimaye waweze kuwa shortlist kwenda hatua nyingine
Hii ni over observation mkuu, hakuna kitu kama hiko.. kwenye hii ishu ya anuani hapana... Hizi barua zote zinaenda Kwa cg wa tra na hiyo ndo anuani yake so hatakama umeandk hiyo hawawezi kukuacha hata.

Sijui kama wanaweza kutumia Kam mtego
 
Unajuaje kama sio mtego huo?

Kama umepewa maelekezo madogo tu na unashindwa kuyafata utaweza kweli kazi.

Attention to details utaipatia wapi kama hapo tu inakushinda.
Hapo itakuwa unajitega mwenyewe, jiamini mkuu.. fanya kilichopo sahihi kwisha habari..
 
Hii ni over observation mkuu, hakuna kitu kama hiko.. kwenye hii ishu ya anuani hapana... Hizi barua zote zinaenda Kwa cg wa tra na hiyo ndo anuani yake so hatakama umeandk hiyo hawawezi kukuacha hata.

Sijui kama wanaweza kutumia Kam mtego
Mkuu mbona kila kitu kinaeleweka kwenye tangazo lakazi si wameweka address ukienda kinyume na hapo chali tena Kwa wengi inakuwaga bolded ili uione vizuri na kwa msisitizo zaid
 
Back
Top Bottom