Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Iv Mkuu kama upo database unajuaje maan nilipig interview oral mpak sasaiv bad Kweny account kuna selected for oral interview xielew AP nip database au
huwezi kujua hyo ni siri yao.apo cha msingi uwe unafatilia pdf za matokeo tu
 
Selection awaoneshag katika tovuti ya utumishi au
Download app ndio inasema kweli kama kwenye app una selected for oral jiandae kufuata barua kama sio ndoige

Ila mara ya mwisho app yao ilikuwa under maintenance

Pole sana status na utumishi kuna mda wanachanganya sana
 
Mm ñimeingia kwenye akaunti yang imeandika selected for oral interview tok mwez wa 10 xijaelewa apo
 
Back
Top Bottom