Kwanini uvccm wamejificha kujadili report ya CAG?

Kwanini uvccm wamejificha kujadili report ya CAG?

Hao UVCCM watu smart ni wachache sana (waliosoma) wengi wao niwajinga ndo wanajificha kwenye kivuli hicho
 
Hao wanasikilizia kauli ya mama ili nao wakoleze moto.
Wanaogopa kutoa msimamo halafu mama akaelekea upande mwingine
 
Yaani mpaka mwadawa mtoto wa hayati Bob analia kuhusu ufisadi lkn uvccm wala hawana habari!!View attachment 2581186
FB_IMG_1575390800494.jpg
 
Sasa kuna UVCCM yoyote mwenye uwezo wa kujadili report ya CAG. Wale ni machawa wao kazi yao ni kuimba mapambio tu.
 
Yaani mpaka mwadawa mtoto wa hayati Bob analia kuhusu ufisadi lkn uvccm wala hawana habari!!View attachment 2581186
uvccm ni genge la wapumbavu kama sukuma gang hawana uwezo wa kujadiri issues kama hizi za ufisadi zilizotajwa kwenye report ya CAG wao wanachoweza ni kazi ya ushoga tu ndio kazi yao hama mama yao kawaletea mtetezi wao hadi ikulu kutokea marekani.
 
Back
Top Bottom