MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
moja, alikuwa mwsnamke pekee mkuu wa nchiKumbe mama Samia sio wa mchezo mchezo.
Uwanja ulilipuka kwa shangwe la namna yake pale mama Samia alipotambulishwa Kama Iron lady , uwanja ulisimama kwa sekunde karibia 70.
Kwanini Wakenya wameonesha upendo mkubwa kiasi hiki kwa mama la mama.?
Na yule Joyce Banda hivi alikuwa nani vileRais wa kwanza mwanamke, Afrika Mashariki, Kati, na Kusini mwa bara la Afrika.
Hawa chawa hawa! Sifa za hovyo!Chawa bana, mnadhani hatukuona hilo tukio? Kila kiongozi alipigiwa makofi kivyake, hakuna rais yoyote aliyepigiwa makofi ya tofauti mpaka ulete hizi propaganda za kijinga.
Rais wa kwanza mwanamke, Afrika Mashariki, Kati, na Kusini mwa bara la Afrika.
Njaa hupofushaNa yule Joyce Banda hivi alikuwa nani vile
Sawa sawa, nilimsahau.Afrika mashariki sawa, kati napo sawa ila kusini mwa bara la Afrika hapo umechemsha, nadhani umesahau kuwa Malawi wameshakuwa na Rais mwanamke
Nilimsahau.Na yule Joyce Banda hivi alikuwa nani vile
Ulimsshau au Uchawa umekupumbaza?Nilimsahau.
akijibu niite mbwaNa yule Joyce Banda hivi alikuwa nani vile
Samia Ni bonge la president, wanaompinga huko Tanzania Ni mazuzu ya marehemu tu, hila Samia anakubarika kimataifaKumbe mama Samia sio wa mchezo mchezo.
Uwanja ulilipuka kwa shangwe la namna yake pale mama Samia alipotambulishwa Kama Iron lady , uwanja ulisimama kwa sekunde karibia 70.
Kwanini Wakenya wameonesha upendo mkubwa kiasi hiki kwa mama la mama.?