Tanzania na Kenya ni sister countries.Kumbe mama Samia sio wa mchezo mchezo.
Uwanja ulilipuka kwa shangwe la namna yake pale mama Samia alipotambulishwa Kama Iron lady , uwanja ulisimama kwa sekunde karibia 70.
Kwanini Wakenya wameonesha upendo mkubwa kiasi hiki kwa mama la mama.?