Punguza makasiriko mkuu, SAMIA ndio Rais wako Hadi 2030Chawa bana, mnadhani hatukuona hilo tukio? Kila kiongozi alipigiwa makofi kivyake, hakuna rais yoyote aliyepigiwa makofi ya tofauti mpaka ulete hizi propaganda za kijinga.
Sahihi na Ruto alisema East and Central Africa. Jamaa kaongeza chumviAfrika mashariki sawa, kati napo sawa ila kusini mwa bara la Afrika hapo umechemsha, nadhani umesahau kuwa Malawi wameshakuwa na Rais mwanamke
Umekomaaa mwenyewe, ok basi, furahi!Ulimsshau au Uchawa umekupumbaza?
Punguza makasiriko mkuu, SAMIA ndio Rais wako Hadi 2030
ISIS IN OTHER ID? karibu tena wallahNabii huyu tumpende na hapa kwetu pia walahi!
Demokrasia au domogasia?Tuko mbele sana kidemokrasia na kutunza usawa wa kijinsia, kazi iendelee
Na mwanamke ameumbwa kupendwa na kupewa attention na Rutto inaonekana analijuwa hili vyema.moja, alikuwa mwsnamke pekee mkuu wa nchi
Wanabeba mahindi kama ya kwao vile. Wakenya hawajawahi kuwa marafiki zetu.Kumbe mama Samia sio wa mchezo mchezo.
Uwanja ulilipuka kwa shangwe la namna yake pale mama Samia alipotambulishwa Kama Iron lady , uwanja ulisimama kwa sekunde karibia 70.
Kwanini Wakenya wameonesha upendo mkubwa kiasi hiki kwa mama la mama.?
Wanaiba au mnawauzia wenyewe?Wanabeba mahindi kama ya kwao vile. Wakenya hawajawahi kuwa marafiki zetu.
Wanampaka mafuta Kwa mgongo wa chupa.
Naona tozo zimeondoka na akili zako zoteSamia Ni bonge la president, wanaompinga huko Tanzania Ni mazuzu ya marehemu tu, hila Samia anakubarika kimataifa
Kama wewe unavyompa attention humu?Na mwanamke ameumbwa kupendwa na kupewa attention na Rutto inaonekana analijuwa hili vyema.
Mama Jana kalala unono sana Kwa attention ile na kupewa fursa ya kutowa hotuba fupi.
Ethiopia pia raisi wake mwanamkeAfrika mashariki sawa, kati napo sawa ila kusini mwa bara la Afrika hapo umechemsha, nadhani umesahau kuwa Malawi wameshakuwa na Rais mwanamke
Ethiopia kiongozi mkuu ni waziri mkuu na siyo Rais.Ethiopia pia raisi wake mwanamke
Na nyinyi mazuzu simlikuwa chawa wa diktetaChawa acheni kubalance shobo.
Tatizo tv zao za Chuplichupli zimewaonesha kapande kamaoja ka Mama Samia tu akiingia na pale alipotoa speech yake! Ukiwaauliza Rais Ruto kasema nini wala hawajui chochote kile!!![emoji3][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Chawa bana, mnadhani hatukuona hilo tukio? Kila kiongozi alipigiwa makofi kivyake, hakuna rais yoyote aliyepigiwa makofi ya tofauti mpaka ulete hizi propaganda za kijinga.
Chawa bana, mnadhani hatukuona hilo tukio? Kila kiongozi alipigiwa makofi kivyake, hakuna rais yoyote aliyepigiwa makofi ya tofauti mpaka ulete hizi propaganda za kijinga.
Sababu ziko kama 2 hivi,Kumbe mama Samia sio wa mchezo mchezo.
Uwanja ulilipuka kwa shangwe la namna yake pale mama Samia alipotambulishwa Kama Iron lady , uwanja ulisimama kwa sekunde karibia 70.
Kwanini Wakenya wameonesha upendo mkubwa kiasi hiki kwa mama la mama.?
Wanabeba mahindi kama ya kwao vile. Wakenya hawajawahi kuwa marafiki zetu.
Wanampaka mafuta Kwa mgongo wa chupa.