K kajembe JF-Expert Member Joined Nov 8, 2010 Posts 1,003 Reaction score 438 Sep 14, 2022 #41 MSAGA SUMU said: Kumbe mama Samia sio wa mchezo mchezo. Uwanja ulilipuka kwa shangwe la namna yake pale mama Samia alipotambulishwa Kama Iron lady , uwanja ulisimama kwa sekunde karibia 70. Kwanini Wakenya wameonesha upendo mkubwa kiasi hiki kwa mama la mama.? Click to expand... Tanzania na Kenya ni sister countries.
MSAGA SUMU said: Kumbe mama Samia sio wa mchezo mchezo. Uwanja ulilipuka kwa shangwe la namna yake pale mama Samia alipotambulishwa Kama Iron lady , uwanja ulisimama kwa sekunde karibia 70. Kwanini Wakenya wameonesha upendo mkubwa kiasi hiki kwa mama la mama.? Click to expand... Tanzania na Kenya ni sister countries.
MWALLA JF-Expert Member Joined Dec 12, 2006 Posts 16,952 Reaction score 10,500 Sep 14, 2022 #42 dinongo said: Punguza makasiriko mkuu, SAMIA ndio Rais wako Hadi 2030 Click to expand... hata Meko mlisema ni wa maisha
dinongo said: Punguza makasiriko mkuu, SAMIA ndio Rais wako Hadi 2030 Click to expand... hata Meko mlisema ni wa maisha
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Sep 14, 2022 #43 Matola said: Ethiopia kiongozi mkuu ni waziri mkuu na siyo Rais. Click to expand... Sawa lakini raisi wake ni mwanamke na yupo kisheria
Matola said: Ethiopia kiongozi mkuu ni waziri mkuu na siyo Rais. Click to expand... Sawa lakini raisi wake ni mwanamke na yupo kisheria