Mmmh! Bakwata nayo ni jumuiya? π ππππMadhara ya mfumo wa Chama kimoja, hata Bakwata siyo ya waislamu ni jumuiya ndani ya Ccm kama hiyo UWT.
Wazo zuri, isomeke hivi kwa sasa UWCCMTInashangaza kuona kwamba UWT ni taasisi ya CCM. Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) unapaswa kuwa umoja wa wanawake wote Tanzania bila kujali itikadi ya vyama. Wanawake wa CCM waanzishe umoja wao kama ilivyo BAWACHA kwa CHADEMA, n.k.
CCM kiache kupora taasisi na mali nyingine za umma na kuzifanya kuwa mali au taasisi za chama. Kuna viwanja vya mpira kama CCM Kirumba, majengo kadhaa ya umma, n.k. vimefanywa kuwa mali za CCM! Huu ni uporaji wa mali za umma kwa faida ya vyama vya siasa.
Kadhalika makanisaMadhara ya mfumo wa Chama kimoja, hata Bakwata siyo ya waislamu ni jumuiya ndani ya Ccm kama hiyo UWT.
Ulikuwa hujui?Mmmh! Bakwata nayo ni jumuiya? π ππππ
Tunajuwa, tunaye Mzee Mohamed Said humu ndio bingwa wa historia.Mngejua historia ya kuanzishwa kwakwe wala msingejiuliza maswali mnayojiuliza Sasa, taasisi imeporwa na chama kama walivyopora viwanja
Ilianzishwa na nyerere,sehemu ya ccm hiyoMmmh! Bakwata nayo ni jumuiya? π ππππ