Kwanini 'Video' ya ngono ikivuja jamii haimuangalii vizuri mwanamke aliyeshiriki kwenye hiyo video tofauti na inavyokuwa kwa mwanaume?

Kwanini 'Video' ya ngono ikivuja jamii haimuangalii vizuri mwanamke aliyeshiriki kwenye hiyo video tofauti na inavyokuwa kwa mwanaume?

Darucha

Senior Member
Joined
Dec 28, 2020
Posts
111
Reaction score
211
Video ya ngono iki leak mwanamke aliyomo kwenye hiyo video huwa haangaliwi vizr na jamii yake tofauti na mwanaume aliyehusika pia kwenye hiyo video.

Mwanamke atataniwa kwa aina ya matusi na utani na sometimes inaweza kumpelekea msongo wa mawazo mwisho kujiua lakini kwa upande wa mwanaume yeye anakuwa hajali kitu utafikiri hamna kilichotokea na kuna baadhi ya jamii anapongezwa kabisa.

Mfano video ya Kim kadashian na Ray j video ile ilimpa umaarufu Sana Ray j baadhi ya watu walimpa pongez za kutosha lakini tofauti kwa Kim kadashian yeye aliharibu heshima yake kwenye jamii na kufanya baadhi ya makampuni kujiondoa udhamini wao kwenye bidhaa za Kim. Hii imekaaje wadau.
 
Mwanamke ni kiumbe mwenye thamani kubwa katika jamii(japo hawajijui) kwaiyo kwa kufanya vile anakuwa kaishusha thamani yake na thamani ya jamii inayo mzunguka ndio maana usemwa zaid ya mwanaume.
 
Wewe jiulize ukisikia dingi yako kafumaniwa au mama yako kafumaniwa ni kipi kitakutia aibu na simanzi.
nakumbuka kuna jamaa mmoja namfahamu, ana baa imevunjwa pale kimara mwisho, siku moja napitia magazeti nikakuta mchaga wa watu picha ukurasa wa mbele, kawekwa chini ya ulinzi na mmiliki wa mke, hana hata nguo. na watoto wake nawafahamu mmoja mwanasheria.
 
Back
Top Bottom