Kwanini vijana wa Diamond hawapati dili za matangazo?

Ulitakiwankuuliza kwanini wasanii wakubwa hawapewi fursa ya matangazo zaidi ya mondi maana huyo harmonize ana ilo moja tu basi....vile vile rayvanny alishakuwa kwenye tangazo la diamond karanga
 
Alikiba yupo bize na Asass

Jux yupo bze na Mapenz ( mara nyng anaonekana Salasala kwa kimada)

Vanesa nae vile vile..

Ben Pol analelewa ..

Mziki wa Bongo unahitaji wasanii wenye Njaa ndio maana Diamond kafanikiwa. Haromize aligundua hili fasta akajiongeza
Alikiba??...jux??...mr blue??....vanessa mdee??...ban po??...nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana makundi mengi huwa yanavunjika kwasababu yenu mashabik maneno km hayo hao wasanii walikua hata hatuwajui kabla ya kuja wasafi kila kitu kina mda wake maneno km haya yalifanya Yamoto band ikavunjika


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama umesema game ya bongo inahitaji wasanii wenye njaa kwanini unasema diamond anawanyonya wasanii wake?na anawanyonyaje?
 
firstclass we ni mjinga usiejijua, umekosa hoja unakwepa kwa kusema utetezi dhaifu jibu hoja acha umama
 
Huyu Ray ni nani?
 
Hapo ya Kwake kwenye hiyo M17 inaweza kua ni M1 tu..

Madogo Wananyonywa sana hawana pakusemea wala pakulalamika
 
Embu elezea vizuri hapo kwa jux bwana(nje ya mada)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uelewa wangu, pale WCB kila mtu ana meneja wake, moja kati ya majukumu ya meneja ni kuhakikisha msanii anauzika.
Sasa je mameneja wa hawa wasanii wanajaribu kuhakikisha wasanii wanauzika?
Hivi mfano lava lava unaweza kumlipa hela akufanyie tangazo? Labda tangazo la vi spika vile vya dawa ya mbu.kunguni upele n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…