hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
Alikiba??...jux??...mr blue??....vanessa mdee??...ban po??...nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikiba??...jux??...mr blue??....vanessa mdee??...ban po??...nk
Mkuu ukimuona mavoko now yaani live utatamani arudi WCB[emoji2][emoji2][emoji2]alikuwa anasema Lugemalila ni mbinafsi sana na myonyaji kumbe yy uyo chibu ndo mnyonyaji na mbinafsi balaa hao dili awawezi pewa ww uoni mavoko alitoka iyo wcb ni lebo miyeyusho mingi sana.
121.
Hapendi show offMwingine ambae huwa najiuliza why hapati matangazo ni ali kiba, au hataki?
Kama umesema game ya bongo inahitaji wasanii wenye njaa kwanini unasema diamond anawanyonya wasanii wake?na anawanyonyaje?Alikiba yupo bize na Asass
Jux yupo bze na Mapenz ( mara nyng anaonekana Salasala kwa kimada)
Vanesa nae vile vile..
Ben Pol analelewa ..
Mziki wa Bongo unahitaji wasanii wenye Njaa ndio maana Diamond kafanikiwa. Haromize aligundua hili fasta akajiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Ray ni nani?Kama harmo watu walikua wanamshukia balaa kwao pa kawaida ,choo cha nje. Mtu anashangaa showoff nyingi pale wasafi halafu home pa kawaida,kumbe hata mavazi ukute wanakodisha tu.
Ray alitakiwa awe juu kama nyimbo zake badala ya kuwa kivuli cha dai kila kukicha. Hakuna mzazi anayekataa pesa bali anaogopa kumtwisha mwanae mzigo baada ya kufahamu hali halisi
Huyu Ray ni nani?
Sikuwaza.Rayvanny au huwa mnamuitaje?
Sikuwaza.
Akilini alikuja Ray Kigosi na Ray C
Hapo ya Kwake kwenye hiyo M17 inaweza kua ni M1 tu..siku nyingine ulete uzi wa kiba na vijana wake haiwezekani daily wcb, haya ni majungu tu mkuu hawa vijana wanapga hela kwa mwezi kuliko hata kibamia na team yake yote japo mnawapga majungu...
mfano mzuri rayvany mwez jana kapata views 17m youtube, tufanye analipwa sh1 kila views hapo atakua kapata sh17m na bado platform zingne...
haya tukiacha hao unaosemwa wananyonywa je wasionyonywa wanapata hizo balozi tofaut na harmo?
tushawajua lengo lenu ni kuivuruga wcb hivo mnatumia kila aina ya mbinu bt wenye akili tushawajueni wasengerema nyie
Ulijuaje halipwi?,na ASAS nako halipwi?Amekuwa balozi wa tembo kwa kujitolea alipwi ukiacha hivyo hakuwa na deal lolote
Kama umesema game ya bongo inahitaji wasanii wenye njaa kwanini unasema diamond anawanyonya wasanii wake?na anawanyonyaje?
firstclass we ni mjinga usiejijua, umekosa hoja unakwepa kwa kusema utetezi dhaifu jibu hoja acha umama
Wanavyo nyonywa na wewe unakuepo mkuu?Hapo ya Kwake kwenye hiyo M17 inaweza kua ni M1 tu..
Madogo Wananyonywa sana hawana pakusemea wala pakulalamika
Embu elezea vizuri hapo kwa jux bwana(nje ya mada)Alikiba yupo bize na Asass
Jux yupo bze na Mapenz ( mara nyng anaonekana Salasala kwa kimada)
Vanesa nae vile vile..
Ben Pol analelewa ..
Mziki wa Bongo unahitaji wasanii wenye Njaa ndio maana Diamond kafanikiwa. Haromize aligundua hili fasta akajiongeza
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] chizi kweli.Sikuwaza.
Akilini alikuja Ray Kigosi na Ray C