Kwanini vijana wa Diamond hawapati dili za matangazo?

Shida ni upatikanaji wa hao mameneja.. mfano meneja wa Lava lava naskia ni Ricadomomo.. yule aliyevamia fani ya uchambuzi wa mpira
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nzovwe sokoni unashukia mbembela utamkuta mama katulia kwenye genge lake sijui hawajifunzi kwa boss wao mama yake anakula tu bata


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nitakusaisha mama yake rayvan ni mtu wa dini sana hivo hata kazi ya muziki wa mwanae hajaikubali. Hataki kifanyike chochote nyumbani kitokacho mikono ya rayvan. Alichofanya dogo ni kujenga mbali na nyumbani kwao isyesye na kusaidia ndugu zake
 
Nitakusaisha mama yake rayvan ni mtu wa dini sana hivo hata kazi ya muziki wa mwanae hajaikubali. Hataki kifanyike chochote nyumbani kitokacho mikono ya rayvan. Alichofanya dogo ni kujenga mbali na nyumbani kwao isyesye na kusaidia ndugu zake
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai wewe!

Hivi pesa unaijua ama unaiskia mdogo wangu?
 
Cdhani kama rayvanny kashindwa kumpa mama yake mtaji! Kama ni kweli anauza mboga ni uamuz wake!! Hata ww hapo sio msanii lakn huwez kosa hata million 1 ya kumpa mzaz wako afungue duka!! Kwahyo rayvanny kakosa hata million moja ya kumpa mzaz wake! Hapna sio kwel!!
 
Wanapata dili nyingi tu, sema lazimia zipitie kwa Simba na huzifanya yeye zote...



Cc: mahondaw
 
Ahsante MWANAMKE kwa koment yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamaa anakunja adi sio poa..

Dili ndogo ndogo km ile ya tomato ilikuwa n ya kumpa ata raymond sio kufanya yeye kila ktu..

Huyu jamaa ni mbinafsi sana. Ni suala la muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbana anapotoa hela nyingi kulipia video za Rayvanny, Mboso na Lavalava au alipotumia nguvu nyingi kuwapa promo wasanii wake ikiwemo na yeye kujinyima kutoa ngoma zake ili ngoma za wasanii wake ziende mbona ukumwita mbinafsi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaahh, wabongo hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ