Kwanini vijana wa Diamond hawapati dili za matangazo?

Kwanini vijana wa Diamond hawapati dili za matangazo?

Shida ni upatikanaji wa hao mameneja.. mfano meneja wa Lava lava naskia ni Ricadomomo.. yule aliyevamia fani ya uchambuzi wa mpira
Kwa uelewa wangu, pale WCB kila mtu ana meneja wake, moja kati ya majukumu ya meneja ni kuhakikisha msanii anauzika.
Sasa je mameneja wa hawa wasanii wanajaribu kuhakikisha wasanii wanauzika?
Hivi mfano lava lava unaweza kumlipa hela akufanyie tangazo? Labda tangazo la vi spika vile vya dawa ya mbu.kunguni upele n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio nzovwe sokoni unashukia mbembela utamkuta mama katulia kwenye genge lake sijui hawajifunzi kwa boss wao mama yake anakula tu bata

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nitakusaisha mama yake rayvan ni mtu wa dini sana hivo hata kazi ya muziki wa mwanae hajaikubali. Hataki kifanyike chochote nyumbani kitokacho mikono ya rayvan. Alichofanya dogo ni kujenga mbali na nyumbani kwao isyesye na kusaidia ndugu zake
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai wewe!

Hivi pesa unaijua ama unaiskia mdogo wangu?
 
Wakuu kuhusu mama ake rayvan kuna mtu aliniambia yule mama ni mtu dini sana, yani wale walokole wa itikadi kali.
Sasa Imani yake ni kwamba hela za rayvan ni za freemason, mama hataki msaada wowote toka kwa mwanae..
Jamaa msimuone vile ana stress nyingi sana, kaz yake haina baraka za mama ake.

Niliposikia hapa habar za kuuza mboga za mafungu, nikaunganisha na ile habari nikaona kuna ukweli fulani.

Japo inawezekana pia jamaa yupo majalala..

Sent using Jamii Forums mobile app
Cdhani kama rayvanny kashindwa kumpa mama yake mtaji! Kama ni kweli anauza mboga ni uamuz wake!! Hata ww hapo sio msanii lakn huwez kosa hata million 1 ya kumpa mzaz wako afungue duka!! Kwahyo rayvanny kakosa hata million moja ya kumpa mzaz wake! Hapna sio kwel!!
 
Wanapata dili nyingi tu, sema lazimia zipitie kwa Simba na huzifanya yeye zote...

Cc: mahondaw
 
WANAUME MNAKAA NA KUPOTEZA MUDA KUJADILI ANGUKO NA MAFANIKIO YA WANAUME WENZENU. AIBU SANA.

HATA JAMES DELICIOUS ALIANZA HIVI HIVI, MWISHO WA SIKU ANAPAKULIWA NA KULIWA KISAMVU.

[emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante MWANAMKE kwa koment yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jamaa anakunja adi sio poa..

Dili ndogo ndogo km ile ya tomato ilikuwa n ya kumpa ata raymond sio kufanya yeye kila ktu..

Huyu jamaa ni mbinafsi sana. Ni suala la muda tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbana anapotoa hela nyingi kulipia video za Rayvanny, Mboso na Lavalava au alipotumia nguvu nyingi kuwapa promo wasanii wake ikiwemo na yeye kujinyima kutoa ngoma zake ili ngoma za wasanii wake ziende mbona ukumwita mbinafsi?
 
Kwa uelewa wangu, pale WCB kila mtu ana meneja wake, moja kati ya majukumu ya meneja ni kuhakikisha msanii anauzika.
Sasa je mameneja wa hawa wasanii wanajaribu kuhakikisha wasanii wanauzika?
Hivi mfano lava lava unaweza kumlipa hela akufanyie tangazo? Labda tangazo la vi spika vile vya dawa ya mbu.kunguni upele n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaahh, wabongo hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom