Kwanini vijana wa Diamond hawapati dili za matangazo?

Wakuu kuhusu mama ake rayvan kuna mtu aliniambia yule mama ni mtu dini sana, yani wale walokole wa itikadi kali.
Sasa Imani yake ni kwamba hela za rayvan ni za freemason, mama hataki msaada wowote toka kwa mwanae..
Jamaa msimuone vile ana stress nyingi sana, kaz yake haina baraka za mama ake.

Niliposikia hapa habar za kuuza mboga za mafungu, nikaunganisha na ile habari nikaona kuna ukweli fulani.

Japo inawezekana pia jamaa yupo majalala..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko mbembela apa. Na huo ndio ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku nyingine ulete uzi wa kiba na vijana wake haiwezekani daily wcb, haya ni majungu tu mkuu hawa vijana wanapga hela kwa mwezi kuliko hata kibamia na team yake yote japo mnawapga majungu...

mfano mzuri rayvany mwez jana kapata views 17m youtube, tufanye analipwa sh1 kila views hapo atakua kapata sh17m na bado platform zingne...

haya tukiacha hao unaosemwa wananyonywa je wasionyonywa wanapata hizo balozi tofaut na harmo?
tushawajua lengo lenu ni kuivuruga wcb hivo mnatumia kila aina ya mbinu bt wenye akili tushawajueni wasengerema nyie
 
Licha ya kufanya vizuri kwenye mitandao ya kijamii, lakini dili nyingi tunaona zikienda kwa Baba yao pekee.

Vijana wanakwama wapi kwani.

Tembo Mnyama kila siku dili mpyaaa.

Hongera Harmonize kwa jicho la fursa. Uliona mbali sanaa.

Japo wengi walikuponda kwa maamuzi yako ya kujitoa wasafi, lakini sasa wameanza kukuelewa.

Piga pesaa dogo. Mbadala wa Diamond ni wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kama kuwa mfanyakazi wa ofisi fulani dili zote zinakuja ofisini sio kwako mfanyakazi mbona ni mambo ya kawaida sana mkuu hayo ? yaani watu wako chini ya kampuni ya mtu na wao wapate dili wakati wanalipwa mshahara kuwa pale ?
 
Utetezi dhaifu kabisa.. Kiba anaingiaje hapa

Diamond anawabania madogo wasipate ma deal
 
Mkuu Music label si sawa na Company za kawaida ( G4S )

Back
Top Bottom