Sio Vijana.... Anza na Wewe....Usiwasemee WengineπKatika utafiti wangu usio rasmi niliuoifanya mitandaoni vijana wa Tanzania ndio wanaoongoza kufuatilia na kujadili mambo ya ngono/mapenzi na uchawi mtandaoni. Wanafuatiwa na vijana wa Uganda kisha Kenya. Rwanda ni wa mwisho.
Hali hii inasababishwa na nini? Hali ya shibe Iko vizuri zaidi Tanzania au ni vijana wa Tanzania tu ndio wana nyege zaidi?
Hapo SasaβοΈWajadili siasa muwafunge?
wengi wao wanadai hawana kazi za kufanya, kumbe ni wavivu na wachagua kazi, ajira bwerere za kutosha kila mTanzania kwenye kilimo.Katika utafiti wangu usio rasmi niliuoifanya mitandaoni vijana wa Tanzania ndio wanaoongoza kufuatilia na kujadili mambo ya ngono/mapenzi na uchawi mtandaoni. Wanafuatiwa na vijana wa Uganda kisha Kenya. Rwanda ni wa mwisho.
Hali hii inasababishwa na nini? Hali ya shibe Iko vizuri zaidi Tanzania au ni vijana wa Tanzania tu ndio wana nyege zaidi?
Wewe mwenyewe hapa unaongelea Ngono na Uchawi tenaKatika utafiti wangu usio rasmi niliuoifanya mitandaoni vijana wa Tanzania ndio wanaoongoza kufuatilia na kujadili mambo ya ngono/mapenzi na uchawi mtandaoni. Wanafuatiwa na vijana wa Uganda kisha Kenya. Rwanda ni wa mwisho.
Hali hii inasababishwa na nini? Hali ya shibe Iko vizuri zaidi Tanzania au ni vijana wa Tanzania tu ndio wana nyege zaidi?
Sio wote tunatumia anonymous identity...Mtu jina lake ni Chivayo95 atapatikanaje akamatwe auwawe?!
VAR muhimu meku..ππKila mtu aishi maisha aliyo yachagua ili mradi tu havunji sheria za nchi,
Wewe unayejadili mambo ya maana umeisaidiaje jamii iliyokuzunguka?
Wewe si ndio mtetezi mkuu wa mashoga hapa JF? Au akili zako uliziweka kwenye mfuko wa shati kabla ya kuanzisha huu uzi?
Kwa hiyo wewe kichaa unasema ajira bwerere alafu unasema kwenye kilimo tena? Hivi wewe kalio zimo kweli au umekatwa kichwa unaweweseka kama KUKU. Kwa hiyo ukiondoa kilimo ni hakuna ajira nyinginewengi wao wanadai hawana kazi za kufanya, kumbe ni wavivu na wachagua kazi, ajira bwerere za kutosha kila mTanzania kwenye kilimo.
so,
kitendo cha kukaa idle muda mrefu kunawafanya kuwaza na kufuatilia zaidi tumambo twaujingaujinga tuπ
Huyo ndio kutwa anafungua nyuzi za kujadili vitu vya kijinga tu,VAR muhimu meku..ππ
Nchi ikiwa na wajinga wengi ndiyo amani ya uhakika inakuwepo. Wenye akili wakiwa wengi kila siku ni maandamano tuHata Utalii, AI, maua n.k
Nalo hili ni balaa jingine, japo naona ushabiki wa mpira ni kama kote Africa Mashariki tofauti ni nchi nyingine wamejikita huko kwa wazungu wakati bongo ni Simba na Yanga zaidi.Umesahauje na mpira mkuu..
Kiufupi wabongo hatutaki mambo magumu na hayo hayahitaji akili kuyadiscuss. Kwa hiyo automatically yanatufaa