MSUKUMA02
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 1,454
- 3,978
Basi sawa mheshimiwa Tlaatlaah kwa hiyo tunafanyaje sasa? Tuachane na mambo mengi hayo maana CCM ni chama kikubwa saaaana duniani hata kile cha trampo kinaijua vizuri CCM.Gentleman,
huo ni uongo wa kiwango cha lami, unless you don't have.
mtaji wa jambo lolote unalopenda au kukusaidia likukomboe kiuchumi ni mipango yako tu. And that's nature and foundation of any economic business.
halafu don't underate and business ideas you have. Kabisa, ondoa hali ya kujidharau na kujikataa, mathalani kesema ati na mimi nianzishe kabiashara kangu.
hiyo ni dalili ya kujikataa na kupanga kufeli hata kabla ya kuanza, na inaweza kumfanya hata mwenye uwezo wa kusuport idea yako kurudi nyuma.
Don't betray your confidence in business gentleman 🐒
Sasa naomba mtaji kupitia ofisi yako hapo Lumumba kwako wewe binafsi ili tuende na Hilo wazo lako la kuwa Tanzania Kuna nafasi nyingi Mimi naomba tu mtaji kutoka kwako. We sema nije PM au ofisini kwako🖐️