Kwanini vijana Watanzania wanaongoza zaidi kufuatilia na kujadili ngono na uchawi ?

We unajadili nini hapa πŸ˜€
 
Cheap mind hujadili cheap stuff. Sasa unafikiri watajadili nini na hawasomi vitabu wala kusikiliza hard news!
 
Siku hizi kila mtu ni,
  1. Mtafiti
  2. Mtabiri ana jicho la tatu
  3. Anapangia watu maisha waishi kama anavyotaka yeye,
  4. Ana habari nyeti za ndani kabisa.
 
Kuhusu ngono ni mazingira yanayotuzunguka. Kila sehemu unayogusa kuna mazingira ambayo yanakufanya uwaze,,, sasa kama huwezi kujicontrol ndo kama hivyo.

Angalia influence ya mziki wa kizazi kipya, current movies, na life style ya vijana kwa sasa wanawaza sana mapenzi + ngono.

Kuna mchina mmoja alisema siku moja nipo kwenye basi Tanzania akaja masai anauza vitu nilipouliza wakasema dawa za nguvu za kiume. Akacheka afu akasema huu ujinga unafanywa tu kwa watu wasiojitambua πŸ˜‚

KUwaza sana ngono wazungu wametumia kama fursa, sahv wametengeneza doldo na midori ao wanauza wanapata hela kutoka kwa wajinga. Af baada ya hapo tunaanza kujiuliza Elon kawezaje kuwa Trionaire!
 
Siku hizi kila mtu ni,
  1. Mtafiti
  2. Mtabiri ana jicho la tatu
  3. Anapangia watu maisha waishi kama anavyotaka yeye,
  4. Ana habari nyeti za ndani kabisa.
Umesahau😁,
5. Mtumishi anahubiri
6. Ustadh anatoa mawaidha
7. Podcaster
8. Mchambuzi wa siasa
9. Motivation speaker
 
Kwa hiyo wewe kichaa unasema ajira bwerere alafu unasema kwenye kilimo tena? Hivi wewe kalio zimo kweli au umekatwa kichwa unaweweseka kama KUKU. Kwa hiyo ukiondoa kilimo ni hakuna ajira nyingine
Ndio,
kwenye kilimo pekee,
kuna ajira bwerere na za wazi na za uhakika kabisa za kutosha waTanzania wote zaidi ya milioni 70 tuliopo sasa. Hapo bado hatujagusa ajira za uhakika kwenye ufungaji, uvuvi na biashara.

In fact,
kua tajiri au maskini Tanzania ni uamuzi wako binafsi tu my friends, ladies and gentlemen in nation building.πŸ’
 
Nafikiri Tanzania mazingira ya kuhamasisha ngono ni finyu zaidi kuliko nchi nyingine. Wanawake Tanzania wanajifunika gubigubi sana ukilinganisha na nchi zote zinazotuzunguka, pia BASATA wanazuia video na nyimbo nyingi sana kwenda hewani tofauti na nchi nyingine ambazo hawana BASATA lakini ajabu bado vijana wa Tanzania kwenye ngono wapo juu kuliko wote😁
 
Hasa uchawi, baada ya kugundua kuwa uchawi unatumika kupata utajiri, inabidi wafuatilie kwa makini. Wanataka kuwa matajiri kwa njia yoyote ile.
 
Hasa uchawi, baada ya kugundua kuwa uchawi unatumika kupata utajiri, inabidi wafuatilie kwa makini. Wanataka kuwa matajiri kwa njia yoyote ile.
Kuna member mmoja humu alijua kucheza na akili za wabongo,alijua wabongo wengi hua wanapenda nini,

Akajikita kujifanya mchawi,akawa anashusha nyuzi za issue za kichawi na mambo yakufikirika,basi mpaka leo kuna wanaomuona huyo jamaa ni bonge la Great thinker wa JF.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nahitaji kuanzisha biashara na Sina mtaji naomba mtaji ndugu mheshimiwa Tlaatlaah nianzishe kabiashara kangu nikutumia namba yangu PM au hapa ili nipate huo mtaji??
 
Nahitaji kuanzisha biashara na Sina mtaji naomba mtaji ndugu mheshimiwa Tlaatlaah nianzishe kabiashara kangu nikutumia namba yangu PM au hapa ili nipate huo mtaji??
Gentleman,
huo ni uongo wa kiwango cha lami, unless you don't have.


mtaji wa jambo lolote unalopenda au kukusaidia likukomboe kiuchumi ni mipango yako tu. And that's nature and foundation of any economic business.

halafu don't underate and business ideas you have. Kabisa, ondoa hali ya kujidharau na kujikataa, mathalani kesema ati na mimi nianzishe kabiashara kangu.

hiyo ni dalili ya kujikataa na kupanga kufeli hata kabla ya kuanza, na inaweza kumfanya hata mwenye uwezo wa kusuport idea yako kurudi nyuma.

Don't betray your confidence in business gentleman πŸ’
 
Nipo site tunaandaa mzgo mpya na malaya wangu aliebadilisha jinsi kabsa kuwa mwanamke secretarybird πŸ‘‡
 

Attachments

  • 1792078914651.jpg
    90.3 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…