Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda?

Joined
Aug 22, 2022
Posts
5
Reaction score
1
Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda wakati hii ndiyo ungekuwa nafasi Yao kutengeneza undugu na kuongeza marafiki na kuwasaidia katika kufanikisha swala ajira
 
😀😀😀 juzi kwenye mafunzo ya JKT waziri anasema ndugu vijana musijihusisheee na siasa,ujinga ujinga maujinga
 
Siasa ni maisha, mitaa inabidi ielewe political systems ila inakatishwa tamaa kutokana na miyeyusho ya vibabu vihuni vilivyoifaidi keki ya Taifa tangu Nyerere,na havipendi vijana wasanuke. Hivyo vizee vinataka vijana waishi misingi ya uongo, wakisimamia ukweli vinawaua au kuwaharibia maisha. Inatisha!
 
Nieleweshe nifahamu Siasa ni nini ?
Alafu fananisha na content unayoiongea
 
Back
Top Bottom