Kwanini vijana wenye degree wasiwe walimu tu shule za msingi au Sekondari?

Kwanini vijana wenye degree wasiwe walimu tu shule za msingi au Sekondari?

Tuna vijana wengi wako wanasubiri viti vya kuzunguka na wako na Elimu zao ila ajira hakuna. Na waliomaliza 4 wakaenda chuo 2 years wako na kazi wanazidi kula shavu.

Mwenye degree anaona upuuzi kuwa Mwalimu, Vijana elimu zenu ziko na maana gani sasa... ni wazo lakini.
Ualimu ni passion...pia huko vyuoni hufundishwa TEACHING METHODOLOGY.....TEACHING ETHICS....
Dada angu mmoja aliwai kataa ualimu akisema yeye hawezi kazi ya kupigishana kelele na watoto....

Naona mambo ni mengi muda mchache😊🤓
 
Mpwayungu village's effects [emoji23][emoji23]

Vijana wa jf mnadharau professional ya ualimu ..,.kmmmmmmmk
 
Tuna vijana wengi wako wanasubiri viti vya kuzunguka na wako na Elimu zao ila ajira hakuna. Na waliomaliza 4 wakaenda chuo 2 years wako na kazi wanazidi kula shavu.

Mwenye degree anaona upuuzi kuwa Mwalimu, Vijana elimu zenu ziko na maana gani sasa... ni wazo lakini.
Ni sawa kabisa wakati wa kuwa na waalimu walioishia form four na kufeli umekwisha waalimu wa primary wawe na degree.
 
Back
Top Bottom