Kwanini vijana wenye degree wasiwe walimu tu shule za msingi au Sekondari?

Ualimu ni passion...pia huko vyuoni hufundishwa TEACHING METHODOLOGY.....TEACHING ETHICS....
Dada angu mmoja aliwai kataa ualimu akisema yeye hawezi kazi ya kupigishana kelele na watoto....

Naona mambo ni mengi muda mchache😊🤓
 
Mpwayungu village's effects [emoji23][emoji23]


Vijana wa jf mnadharau professional ya ualimu ..,.kmmmmmmmk
 
Ni sawa kabisa wakati wa kuwa na waalimu walioishia form four na kufeli umekwisha waalimu wa primary wawe na degree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…